Mzee Wasira, wapinzani washindwe wenyewe.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Mzee Wasira si ndiye yuleyule aliyekuwa akisinzia bumgeni, au?
 
Mzee wa Gombe bado yumo Kama Yoweri Nkulunzinza kagame obiyang - hawaachi, wanakaba hata pabalti za umri na hawataki kupumzika.

Kwa uteuzi wa wassira ni ujumbe Kwa cdm waendelee na FAM- lakini wanacho sahau ni kwamba Bulaya tayari alikwishwa Mshinda zilipendwa wasira huko Bunda. Sijui ccm wanataka nini kumrudisha huyu Mzee. Muoneeni huruma basi…
 
Uzuri wenyewe Wasira ana ugomvi na Makongoro Nyerere, Bulaya baasi na watu wa bunda tu baasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…