johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
mbona hata Sasa ni serikali 2,aseme serikali 1.na hata mm Kama ingekuwa kupigia kura ,Basi ningesema iwe serikali moja.haya ya serikali 2,ndo haya haya Kuna kuwa na malalamiko na bias .Kama chadema watashupalia serkali 3 basi jua hakuna katiba mpya, trust me
USSR
Moja haiwezekani wazanzibari hawata kubalimbona hata Sasa ni serikali 2,aseme serikali 1.na hata mm Kama ingekuwa kupigia kura ,Basi ningesema iwe serikali moja.haya ya serikali 2,ndo haya haya Kuna kuwa na malalamiko na bias .
Lisiwepo kabisa lile dudeAkiwa kwenye mahojiano pale TBC pamoja na Zitto Kabwe yule mzee Wassira alishasema msimamo kwamba Bila Serikali 2 hakuna Katiba mpya
Hivyo ni vema mzee Wassira na Watu wa aina yake wasiwemo kwenye Timu ya Katiba mpya vinginevyo watavuruga mchakato
Maendeleo hayana Chama!
Hata CCM kuna watu kibao wanataka serikali tatu...wakati wa tume ya warioba viongozi wengi wastaafu na walio madarakani waliohojiwa walikuwa wanataka serikali tatuKama chadema watashupalia serkali 3 basi jua hakuna katiba mpya, trust me
USSR
Basi muungano uvunjwe ,tubaki na mahusiano ya kimataifa ,na Kama wataomba kuingia EAC ,tutakutanaga huko !!Moja haiwezekani wazanzibari hawata kubali
USSR
Kukusanywa jambo lingine ,upitiwaji wa uchakatwaji wa maoni hayo hadi uandishi wenyewe nijambo lingineKwani katiba mpya si inakusanya maoni ya wananchi? Wassira akiwa kama mwananchi, basi hilo ni moja ya maoni yake, sasa ubaya upo wapi? Maana maoni ya wengi tunaamini ndiyo yatashinda kama mjadala utakuwa huru.
Chadema hawatakiwi kuhangaika na mambo mengi ndani ya katiba mpya.Akiwa kwenye mahojiano pale TBC pamoja na Zitto Kabwe yule mzee Wassira alishasema msimamo kwamba Bila Serikali 2 hakuna Katiba mpya
Hivyo ni vema mzee Wassira na Watu wa aina yake wasiwemo kwenye Timu ya Katiba mpya vinginevyo watavuruga mchakato
Maendeleo hayana Chama!
Siioni CCM kwenye hoja ya serikali tatu kabisa. Bibi anapenda ku compromise na vitu hata asivyoweza himili impact yake. Katiba mpya bila serikali 3 ni kupoteza rasilimali muda na fedha.Kama chadema watashupalia serkali 3 basi jua hakuna katiba mpya, trust me
USSR
Tulia mzee ale hela za mwisho mwishoAkiwa kwenye mahojiano pale TBC pamoja na Zitto Kabwe yule mzee Wassira alishasema msimamo kwamba Bila Serikali 2 hakuna Katiba mpya
Hivyo ni vema mzee Wassira na Watu wa aina yake wasiwemo kwenye Timu ya Katiba mpya vinginevyo watavuruga mchakato
Maendeleo hayana Chama!