johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.
Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo.
Tusubiri, muda ni msema kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Hatuwezi Kumchukua MZEE WASSIRA , Tunaenda na BULAYA TU.Kuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.
Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo.
Tusubiri, muda ni msema kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Labda atagombea urais kupitia Chadema!Atakuwa ameambiwa fomu ni moja, akamuombe ambae amechukua tayari atoe copy.
Bwashee usiogope!Alafu akikosa anachokitafuta baadae arudi CCM huku akizusha kashifa nyingi na uongo mwingi kuhusu CHADEMA.
Hawa ndo wale wakipata wanaenda Lumumba wanatia bei ubunge wetu kwa bei ya juu zaidi hata ya mafao+mshahara na poshoAlafu akikosa anachokitafuta baadae arudi CCM huku akizusha kashifa nyingi na uongo mwingi kuhusu CHADEMA.
Bulaya kuna siku atarudi sisiemu, sio muda mrefu!Hatuwezi Kumchukua MZEE WASSIRA , Tunaenda na BULAYA TU.
Yeye alishastaafu ubunge anataka nafasi ya juu zaidi!Hatuwezi Kumchukua MZEE WASSIRA , Tunaenda na BULAYA TU.
Kazi nzuri gani ?Angetulia tuu anatafuta nini ambacho amekosa akiwa CCM?
Kwa kazi nzuri ya JPM waliozoea wepesi wa maisha lazima watahangaika tuu.
Wa nini huyo ??!!Kuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.
Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo.
Tusubiri, muda ni msema kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Hakuna tatizo ni haki yake kikatiba ila kwasasa yupo CDM na tunampitisha BUNDA ampige tena za USO, UPPERCUT CHEMBE KIDEVU huyo MZEE.Bulaya kuna siku atarudi sisiemu, sio muda mrefu!
mark my words!
Kama anataka NAFASI achukue huko Kwenu ambapo mnataka NAFASI ZA DOLA.Yeye alishastaafu ubunge anataka nafasi ya juu zaidi!