Tetesi: Mzee Wassira kuhamia CHADEMA

Kazi nzuri gani ?
Unaweza kukuta unayeniuliza ni raia wa Malawi.

Lakini kwa uchache,

1. Nidhamu kwa watumishi wa umma

2. Miundombinu imeboreshwa na inazidi kuboreshwa

3.Mapambano dhidi ya madawa ya kulevya

4. Umeme vijijini unasambazwa kwa kasi

5. Mikopo elimu ya juu

6. Mapambano dhidi ya rushwa

7. Madini sasa yanaleta Tija

Hebu ongezea na wewe usisahau kumpigia kura JPM wahamasishe na wenzako 10.
 
Ata jiungaje na chama alicho kitabiria kifo??
 
Huwezi kujua,inawezekana kuna mkakati unafanya,au wanatangulizwa na Membe na usishangae wakaongezeka wengine
Alafu akikosa anachokitafuta baadae arudi CCM huku akizusha kashifa nyingi na uongo mwingi kuhusu CHADEMA.
 
Kwenda upinzani ni business yaani ukienda cdm unapotaka kurudi inakuwa habari ya mjini yaani arejea nyumbani nk
 
kachuja huyo...... arudi tu kijijini kwake Bunda huko akachunge mbuzi!
 
Apumzike Unajua Vijana Wanashindwa Hata Kushangaa 🙄
Mpaka Sasa Hivi Ana Vitukuu Bado Anataka Siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…