Mzee Wassira: Madaktari wanasema Niko vizuri. Mimi mwenyewe Siwezi Kujua ila madaktari wanasema Niko Fiti!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Wassira amesema madaktari wanasema yuko Fiti, Yeye mwenyewe hawezi kujua lakini madaktari wanasema yuko Fiti

Wassira alikuwa akiongea na Waandishi wa Clouds media na kusisitiza " nyie Wenyewe mmenikuta Niko hapa nawasubiri hii maana yake Niko vizuri sana"

clouds fm.png

Source Clouds media
 
sure,
Mzee wasira yuko vizuri kuliko Trump,

kibaka wa chadema licha ya kushauriwa na madaktari apumzike kutokana na hali yake but ameshupaza shingo na huo ni uamuzi wake.

acha afanye siasa na clinic 🐒
 
Kwa kumwangalia sura yake inaonesha huyo mzee amechoka na anatakiwa kupata muda mwingi wa kupumzika.Ipo siku atasinzia nusu saa nzima kwenye midahalo
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Wassira amesema madaktari wanasema yuko Fiti, Yeye mwenyewe hawezi kujua lakini madaktari wanasema yuko Fiti

Wassira alikuwa akiongea na Waandishi wa Clouds media na kusisitiza " nyie Wenyewe mmenikuta Niko hapa nawasubiri hii maana yake Niko vizuri sana"

Source Clouds media
Huu uzi tutaukumbushia siku si nyingi
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Wassira amesema madaktari wanasema yuko Fiti, Yeye mwenyewe hawezi kujua lakini madaktari wanasema yuko Fiti

Wassira alikuwa akiongea na Waandishi wa Clouds media na kusisitiza " nyie Wenyewe mmenikuta Niko hapa nawasubiri hii maana yake Niko vizuri sana"

Source Clouds media
Screenshot_2025-02-12-15-29-22-1.png
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Wassira amesema madaktari wanasema yuko Fiti, Yeye mwenyewe hawezi kujua lakini madaktari wanasema yuko Fiti

Wassira alikuwa akiongea na Waandishi wa Clouds media na kusisitiza " nyie Wenyewe mmenikuta Niko hapa nawasubiri hii maana yake Niko vizuri sana"

Source Clouds media
Mumpumzishe huyu mzee.... Nadhani hapo tu mmejua yukoje
 
Una roho ya kichawi.
Sijui watoto wako watajifunza nini.
Uchawi!!!!.
sasa mtu unashauriwa na madaktari kwamba kwa hali yako na afya yako inafaa kupumzika,

wewe kwa kiburi na tamaa ya umaarufu unashupaza shingo hali ya kua una clinic,

huenda kibaba mwenye tabia kama hizo ndie mchawi, shauri yake mwenyewe 🐒
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Wassira amesema madaktari wanasema yuko Fiti, Yeye mwenyewe hawezi kujua lakini madaktari wanasema yuko Fiti

Wassira alikuwa akiongea na Waandishi wa Clouds media na kusisitiza " nyie Wenyewe mmenikuta Niko hapa nawasubiri hii maana yake Niko vizuri sana"

Source Clouds media
Je Mzoga ni marehemu
 
Tayari huyo afya ya akili imetetereka, CCM muondoweni haraka mzee wenu ameanza kuweweseka baada ya mizunguuko michache tu. Toka aanze kuzurula akili yake imekwama kwa Chadema tu, kila aendapo yeye ni Chadema tu.
 
Ndugu yangu Lissu alikupa momba nini?
alipokamatwa na polisi mbeya,

alieza na kudai wazi kwamba, anabwia vidonge vya dawa vingi mno kuupa mwili wake ahueni,

ni wazi matabibu walimshauri kupumzika vya kutosha badala ya kushupaza shingo kwa kiburi na tamaa zake huku akiwa na clinic ya kila mwezi,

hasara ni yake binafsi gentleman 🐒
 
Tatizo sio yeye tatizo ni kwa waliomuweka hapo. Ni sawa na mtu akupe mzinga wa pombe kali akuambie uumalize papo hapo kila siku, kwa tamaa zako utadhani anakupenda kumbe anakuua taratibu
 
Back
Top Bottom