johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
sure,Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Wassira amesema madaktari wanasema yuko Fiti, Yeye mwenyewe hawezi kujua lakini madaktari wanasema yuko Fiti
Wassira alikuwa akiongea na Waandishi wa Clouds media na kusisitiza " nyie Wenyewe mmenikuta Niko hapa nawasubiri hii maana yake Niko vizuri sana"
Source Clouds media
Sasa mbona kila saa analala? Mnamtesa mzee wa watu.sure,
Mzee wasira yuko vizuri kuliko Trump,
kibaka wa chadema licha ya kushauriwa na madaktari apumzike kutokana na hali yake but ameshupaza shingo na huo ni uamuzi wake.
acha afanye siasa na clinic 🐒
🤣🤣🤣Sasa mbona kila saa analala? Mnamtesa mzee wa watu.
Huu uzi tutaukumbushia siku si nyingiMakamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Wassira amesema madaktari wanasema yuko Fiti, Yeye mwenyewe hawezi kujua lakini madaktari wanasema yuko Fiti
Wassira alikuwa akiongea na Waandishi wa Clouds media na kusisitiza " nyie Wenyewe mmenikuta Niko hapa nawasubiri hii maana yake Niko vizuri sana"
Source Clouds media
Ndugu yangu Lissu alikupa momba nini?sure,
Mzee wasira yuko vizuri kuliko Trump,
kibaka wa chadema licha ya kushauriwa na madaktari apumzike kutokana na hali yake but ameshupaza shingo na huo ni uamuzi wake.
acha afanye siasa na clinic 🐒
Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Wassira amesema madaktari wanasema yuko Fiti, Yeye mwenyewe hawezi kujua lakini madaktari wanasema yuko Fiti
Wassira alikuwa akiongea na Waandishi wa Clouds media na kusisitiza " nyie Wenyewe mmenikuta Niko hapa nawasubiri hii maana yake Niko vizuri sana"
Source Clouds media
Una roho ya kichawi.sure,
Mzee wasira yuko vizuri kuliko Trump,
kibaka wa chadema licha ya kushauriwa na madaktari apumzike kutokana na hali yake but ameshupaza shingo na huo ni uamuzi wake.
acha afanye siasa na clinic 🐒
Mumpumzishe huyu mzee.... Nadhani hapo tu mmejua yukojeMakamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Wassira amesema madaktari wanasema yuko Fiti, Yeye mwenyewe hawezi kujua lakini madaktari wanasema yuko Fiti
Wassira alikuwa akiongea na Waandishi wa Clouds media na kusisitiza " nyie Wenyewe mmenikuta Niko hapa nawasubiri hii maana yake Niko vizuri sana"
Source Clouds media
Tanzania Hakunaga vijana kuna CHAWAAta kama yupo vizuri nafasi izo vijana nazo mda wao, mtu toka nyerere duh, ndo maana tuna lia mtaani ajira hakuna kumbe wa kuwasema kwenye nafasi hayupo
HahahhaTanzania Hakunaga vijana kuna CHAWA
sasa mtu unashauriwa na madaktari kwamba kwa hali yako na afya yako inafaa kupumzika,Una roho ya kichawi.
Sijui watoto wako watajifunza nini.
Uchawi!!!!.
Je Mzoga ni marehemuMakamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Wassira amesema madaktari wanasema yuko Fiti, Yeye mwenyewe hawezi kujua lakini madaktari wanasema yuko Fiti
Wassira alikuwa akiongea na Waandishi wa Clouds media na kusisitiza " nyie Wenyewe mmenikuta Niko hapa nawasubiri hii maana yake Niko vizuri sana"
Source Clouds media
Tayari huyo afya ya akili imetetereka, CCM muondoweni haraka mzee wenu ameanza kuweweseka baada ya mizunguuko michache tu. Toka aanze kuzurula akili yake imekwama kwa Chadema tu, kila aendapo yeye ni Chadema tu.Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Wassira amesema madaktari wanasema yuko Fiti, Yeye mwenyewe hawezi kujua lakini madaktari wanasema yuko Fiti
Wassira alikuwa akiongea na Waandishi wa Clouds media na kusisitiza " nyie Wenyewe mmenikuta Niko hapa nawasubiri hii maana yake Niko vizuri sana"
Source Clouds media
Wapi umemuona amelala au umemfumania kalala na demu wako ?!Sasa mbona kila saa analala? Mnamtesa mzee wa watu.
alipokamatwa na polisi mbeya,Ndugu yangu Lissu alikupa momba nini?