Mzee wasira ni lazima aelewe kwenye No election no reform hakuna mdahalo bali utekelezaji. Chaguzi za 2019, 2020 na 2024 zime maliza mdahalo na maswali yeyote ya kwamba chaguzi kwa sasa zinaweza tena kuwa za haki kwa sheria zilizopo sasa. Sasa unaposema unataka mdahalo na Lissu ni wa nini hasa?.
Kitu cha msingi sasa ni kwamba mabadiliko yanafanyika au hayafanyiki?. Hata kama CCM iki lazimisha kufanya chaguzi fake ambazo kwa mazingira haya watanzania wengi hawataenda kupiga kura hoja itabaki palepale mwaka kesho.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Agenda ya makada wengi wa CCM ni midahalo ya kupoteza muda ambayo imesha fanyika. Kwa sasa Chadema inafikiria namna mpya ya kupata pesa za kuendesha kampeni zao za kutangaza agenda zao na jinsi ya kufikia watu. Midahalo mengine imeisha.