Leo tunafanya Maombi ya kuwaombea Wanasiasa Wote wa Nchi hii Ili taifa letu lizidi kuwa na Amani
Tumesukumwa na Wito wa Rais mstaafu wa Kenya kuwataka Vijana watetee Haki zao za Msingi na Urithi wa Rasilimali za Nchi Ili na Vizazi vyao zizikute Kwa sababu Wazee Muda wa Maisha yao uko ukingoni
Tutaiombea zaidi na ACT Wazalendo inayoamini katika Uongozi wa Vijana
Tunawatakia Dominica Njema
Ni sisi Yohana, Mzee Mgaya na Mchungaji Erasto 😀😀