Mzee wetu Rais wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi anaendeleaje? Watanzania tunamuombea

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Mzee wetu na Baba/ Babu wa Watanzania wengi Dr. Ali Hassan Mwinyi tulitangaziwa ya kwamba yu mgonjwa, na akakimbizwa hospitali kwa matibabu ya kifua.

Tangu tumetangaziwa hivyo hatujapata mrejesho wa afya ya Mzee wetu.

Woto wangu kwenu ndugu zanguni Watanzania wenzangu, tuendelee kusugua goti, Mungu amponye Mzee wetu
 
Yaani akili za waTanzania zimeenda ni kama hawajitambui mambo
Nyingine zinatakiwa kuachwa zilivyo maisha iende.
 
Nyerere aliingiza nchi kwenye uchawi na ushirikina na laana, hadi kutuletea mwenge
 
Badala ya kujadili Samia aondoke madarakani kwa kulidanganya taifa kuwa mgawo wa umeme utaisha mwezi machi, mnajadili maisha ya mtu. Pathetic!
 
Endeleeeni.
 

Akufe tu mana kama kuishi kaishi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…