Mzee wetu Rais wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi anaendeleaje? Watanzania tunamuombea

Babu yako wa uranga malinyi vipi mpa ufatilie mababu wasio wako wa keki ya taifa
 
Ukimuombea wewe inatosha, sisi wengine kuwepo au kutokuwepo kwake hakuna maana yoyote kwetu
 
Subirini kwanza mtajuzwa kwa muda muafaka mi nahangaika na kilimo cha mpunga Ifakara huku maeneo ya viwanja sitini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…