toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,612
- 4,721
Ukisikia kurudi mjini ndo huku[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Usiku wa kuamkia nane nane Jahazi modern Taarab chini ya mfalme yussuf watakiwasha pale Dar live mpaka majogoo
Mambo ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Unaambiwa wapenz wa taarab walivyommis hiyo siku daah I can't wait mwenyewe nitakuepo
Kiingilio elfu kumi tu mlangoni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Atakuepo mzee yusuf, leyla rashid, fatma mcharuko,prince amigo,khadija yussuf,mtoto pori,.mc mwasiti na wengine wengi[emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320]
Albam ya "full dozi" itazinduliwa siku hiyo
Tayari mzee ashaachia nyimbo kadhaa youtube