Mzee Yusufu kumtema mkewe baada ya kugoma kuacha kuimba taarabu kama alivyofanya

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Aliyekuwa nguli wa muziki wa Taarabu nchini Mzee Yusufu inadaiwa na dada yake kuwa atampa mkewe talaka baada ya kugoma kuacha kufanya muziki wa taarabu na kumrudia mungu kama mumewe alivyofanya. maana sheria za dini ya kiislam zinataka mume akifanya jambo na mke amfuate
 
Mungu wa Kiarabu(Allah) hapendi binadamu apate raha au burudani.Mzee Yusuph yeye alishurutishwa na nani kuacha burudani?? Kama anamwacha mkewe kwa sababu ambazo hazina msingi aone jinsi mwanamke huyo atakavyogombewa kama mpira wa kona,kabla hata hajaandika hata talaka yenyewe watu watajibebea mzigo kiulaini na kuuficha ndani.Halafu aone atakavyoanza kuweweseka.
 
kwani peponi wanabebana .. amuache atakapo ona umuhimu wa kuacha ataacha mwenyewe..kwani mzee yusufu nani alikusgurutisha kuacha?
japo kwamba peponi hawabebani bado hiyo sio sabab ya kumwacha mke apotee akiwa mikonon mwako

Pia maandiko yanatuambia kuwa kila mchunga ataulizwa alichungaje kondoo wake na elewa kuwa kwa mwanume mke na watoto ni kondoo wake ambao yampasa awachunge vema maana atawajibika kwa matendo yao ndio maana pia dini inatuambia kuwa waweza kuwa mtu wa sala masaa 24 ila wakuzungukao mf mke,watoto wanaeza kukufanya ukakosa pepo na ukaishia motoni!,
 
Namtaka leo kesho yule bibie, nangoja amwache tu maana sipendagi walio kwenye ndoa zao!!
 
japo kwamba peponi hawabebani bado hiyo sio sabab ya kumwacha mke apotee akiwa mikonon mwako

Pia maandiko yanatuambia kuwa kila mchunga ataulizwa alichungaje kondoo wake na elewa kuwa kwa mwanume mke na watoto ni kondoo wake ambao yampasa awachunge vema maana atawajibika kwa matendo yao ndio maana pia dini inatuambia kuwa waweza kuwa mtu wa sala masaa 24 ila wakuzungukao mf mke,watoto wanaeza kukufanya ukakosa pepo na ukaishia motoni!,
Haya mkuu
 
kwani peponi wanabebana .. amuache atakapo ona umuhimu wa kuacha ataacha mwenyewe..kwani mzee yusufu nani alikusgurutisha kuacha?

Anamtafutia sababu tu huyo mwanamke ili amuache. Kutunza wake wawili ni ghali. Anataka kupunguza mmoja. Hizo taarabu yeye si ndo kawafundisha kuimba, leo hizohizo zinageuka kigezo cha kuacha [emoji57][emoji57]
 
Mungu wa Kiarabu(Allah) hapendi binadamu apate raha au burudani.Mzee Yusuph yeye alishurutishwa na nani kuacha burudani?? Kama anamwacha mkewe kwa sababu ambazo hazina msingi aone jinsi mwanamke huyo atakavyogombewa kama mpira wa kona,kabla hata hajaandika hata talaka yenyewe watu watajibebea mzigo kiulaini na kuuficha ndani.Halafu aone atakavyoanza kuweweseka.
Nimetafakari nikakuta asojua hajui na akiambiwa hataaki kujua mungu WA kiarabu Je wewe mwafrika mungu wako yupi Bora ujifunze ujue kuliko kupost udhihirisho WA jinsi ulivyokuwa tupu bila kujua Upo tupu
 
Mungu wa Kiarabu(Allah) hapendi binadamu apate raha au burudani.Mzee Yusuph yeye alishurutishwa na nani kuacha burudani?? Kama anamwacha mkewe kwa sababu ambazo hazina msingi aone jinsi mwanamke huyo atakavyogombewa kama mpira wa kona,kabla hata hajaandika hata talaka yenyewe watu watajibebea mzigo kiulaini na kuuficha ndani.Halafu aone atakavyoanza kuweweseka.
Hahahaaa.......Mfalme anataka kutoa fursa.Kaa mkao wa kupokea
 
Mungu wa Kiarabu(Allah) hapendi binadamu apate raha au burudani.Mzee Yusuph yeye alishurutishwa na nani kuacha burudani?? Kama anamwacha mkewe kwa sababu ambazo hazina msingi aone jinsi mwanamke huyo atakavyogombewa kama mpira wa kona,kabla hata hajaandika hata talaka yenyewe watu watajibebea mzigo kiulaini na kuuficha ndani.Halafu aone atakavyoanza kuweweseka.
Kumbe kuna raha wakati;
-mkeo anacheza akiwa uchi mbele ya wanaume wenzio?

-

-

-

.....

-Kweli tunatofautiana.

-Maana haihitaji PhD kuliona hilo
 
Duu sijui ni nini kimempata huyu jamaa ..sina tatizo na yeye kumrudia Mungu ila hadi unamwacha mkeo ?
Ni mwanamke yupi kwanza anataka kumwacha kama ni yule mtoto wa kimanga Leila amwache tu tena kwa talaka tatu halafu watu wamuinukie wima
 
Anamtafutia sababu tu huyo mwanamke ili amuache. Kutunza wake wawili ni ghali. Anataka kupunguza mmoja. Hizo taarabu yeye si ndo kawafundisha kuimba, leo hizohizo zinageuka kigezo cha kuacha [emoji57][emoji57]
Hapo we nimekuelewa sana
 
Mungu wa Kiarabu(Allah) hapendi binadamu apate raha au burudani.Mzee Yusuph yeye alishurutishwa na nani kuacha burudani?? Kama anamwacha mkewe kwa sababu ambazo hazina msingi aone jinsi mwanamke huyo atakavyogombewa kama mpira wa kona,kabla hata hajaandika hata talaka yenyewe watu watajibebea mzigo kiulaini na kuuficha ndani.Halafu aone atakavyoanza kuweweseka.
Hivi unajua Jewish people wanamkataa Yesu, wanasema ni mtu wa kawaida tu na ana baba na mama ila Christian hujidai baba yake kuwa Mungu. Sasa Huyo Mungu wako wa kizungu raha yake kuwaona magese yakigegedwa?[emoji15] . Na Mapastor kuwalawiti watoto[emoji15]
 
Back
Top Bottom