Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Njoni huku wangwana wote siwataji mnajijua mpepee huyu.Masharti ya mganga yanacost
Mungu wa Kiarabu(Allah) hapendi binadamu apate raha au burudani.Mzee Yusuph yeye alishurutishwa na nani kuacha burudani?? Kama anamwacha mkewe kwa sababu ambazo hazina msingi aone jinsi mwanamke huyo atakavyogombewa kama mpira wa kona,kabla hata hajaandika hata talaka yenyewe watu watajibebea mzigo kiulaini na kuuficha ndani.Halafu aone atakavyoanza kuweweseka.Aliyekuwa nguli wa muziki wa Taarabu nchini Mzee Yusufu inadaiwa na dada yake kuwa atampa mkewe talaka baada ya kugoma kuacha kufanya muziki wa taarabu na kumrudia mungu kama mumewe alivyofanya. maana sheria za dini ya kiislam zinataka mume akifanya jambo na mke amfuate
japo kwamba peponi hawabebani bado hiyo sio sabab ya kumwacha mke apotee akiwa mikonon mwakokwani peponi wanabebana .. amuache atakapo ona umuhimu wa kuacha ataacha mwenyewe..kwani mzee yusufu nani alikusgurutisha kuacha?
Haya mkuujapo kwamba peponi hawabebani bado hiyo sio sabab ya kumwacha mke apotee akiwa mikonon mwako
Pia maandiko yanatuambia kuwa kila mchunga ataulizwa alichungaje kondoo wake na elewa kuwa kwa mwanume mke na watoto ni kondoo wake ambao yampasa awachunge vema maana atawajibika kwa matendo yao ndio maana pia dini inatuambia kuwa waweza kuwa mtu wa sala masaa 24 ila wakuzungukao mf mke,watoto wanaeza kukufanya ukakosa pepo na ukaishia motoni!,
kwani peponi wanabebana .. amuache atakapo ona umuhimu wa kuacha ataacha mwenyewe..kwani mzee yusufu nani alikusgurutisha kuacha?
Nimetafakari nikakuta asojua hajui na akiambiwa hataaki kujua mungu WA kiarabu Je wewe mwafrika mungu wako yupi Bora ujifunze ujue kuliko kupost udhihirisho WA jinsi ulivyokuwa tupu bila kujua Upo tupuMungu wa Kiarabu(Allah) hapendi binadamu apate raha au burudani.Mzee Yusuph yeye alishurutishwa na nani kuacha burudani?? Kama anamwacha mkewe kwa sababu ambazo hazina msingi aone jinsi mwanamke huyo atakavyogombewa kama mpira wa kona,kabla hata hajaandika hata talaka yenyewe watu watajibebea mzigo kiulaini na kuuficha ndani.Halafu aone atakavyoanza kuweweseka.
Kwani ukifikiri kabla hujaandika unapungukiwa na nini?kwani peponi wanabebana .. amuache atakapo ona umuhimu wa kuacha ataacha mwenyewe..kwani mzee yusufu nani alikusgurutisha kuacha?
Hahahaaa.......Mfalme anataka kutoa fursa.Kaa mkao wa kupokeaMungu wa Kiarabu(Allah) hapendi binadamu apate raha au burudani.Mzee Yusuph yeye alishurutishwa na nani kuacha burudani?? Kama anamwacha mkewe kwa sababu ambazo hazina msingi aone jinsi mwanamke huyo atakavyogombewa kama mpira wa kona,kabla hata hajaandika hata talaka yenyewe watu watajibebea mzigo kiulaini na kuuficha ndani.Halafu aone atakavyoanza kuweweseka.
Kwan ukifikiri kabla ya kureply unapungukiwa nini?Kwani ukifikiri kabla hujaandika unapungukiwa na nini?
Mume ni kichwa cha familiakwani peponi wanabebana .. amuache atakapo ona umuhimu wa kuacha ataacha mwenyewe..kwani mzee yusufu nani alikusgurutisha kuacha?
Mume ni kichwa cha familiakwani peponi wanabebana .. amuache atakapo ona umuhimu wa kuacha ataacha mwenyewe..kwani mzee yusufu nani alikusgurutisha kuacha?
Kumbe kuna raha wakati;Mungu wa Kiarabu(Allah) hapendi binadamu apate raha au burudani.Mzee Yusuph yeye alishurutishwa na nani kuacha burudani?? Kama anamwacha mkewe kwa sababu ambazo hazina msingi aone jinsi mwanamke huyo atakavyogombewa kama mpira wa kona,kabla hata hajaandika hata talaka yenyewe watu watajibebea mzigo kiulaini na kuuficha ndani.Halafu aone atakavyoanza kuweweseka.
Hapo we nimekuelewa sanaAnamtafutia sababu tu huyo mwanamke ili amuache. Kutunza wake wawili ni ghali. Anataka kupunguza mmoja. Hizo taarabu yeye si ndo kawafundisha kuimba, leo hizohizo zinageuka kigezo cha kuacha [emoji57][emoji57]
Hivi unajua Jewish people wanamkataa Yesu, wanasema ni mtu wa kawaida tu na ana baba na mama ila Christian hujidai baba yake kuwa Mungu. Sasa Huyo Mungu wako wa kizungu raha yake kuwaona magese yakigegedwa?[emoji15] . Na Mapastor kuwalawiti watoto[emoji15]Mungu wa Kiarabu(Allah) hapendi binadamu apate raha au burudani.Mzee Yusuph yeye alishurutishwa na nani kuacha burudani?? Kama anamwacha mkewe kwa sababu ambazo hazina msingi aone jinsi mwanamke huyo atakavyogombewa kama mpira wa kona,kabla hata hajaandika hata talaka yenyewe watu watajibebea mzigo kiulaini na kuuficha ndani.Halafu aone atakavyoanza kuweweseka.
Sawa mkuu maana jina lako tu linajitosheleza kusadiki kilichopo kichwani mwako....Kwan ukifikiri kabla ya kureply unapungukiwa nini?