Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Mzee.muongea hovyoHajaonekana. Mzee wa kulamba asali. Nadhani itakuwa yupo reserve anasubiria kufanya Kampeni mkoani mwake Tanga.
Huyu Mzee wa Pwani ana maneno sana nadhani atatumika kwa wakati wake kumnadi mgombea Urais wa CCM.
Huyu ni MwanaCCM kindaki ndaki, kada mzoefu ambaye tunamwitaji aongezee nguvu katika harakati hizi
Mzee.muongea hovyo
Kasusa hadi January arejeshwe.Hajaonekana. Mzee wa kulamba asali. Nadhani itakuwa yupo reserve anasubiria kufanya Kampeni mkoani mwake Tanga.
Huyu Mzee wa Pwani ana maneno sana nadhani atatumika kwa wakati wake kumnadi mgombea Urais wa CCM.
Huyu ni MwanaCCM kindaki ndaki, kada mzoefu ambaye tunamwitaji aongezee nguvu katika harakati hizi
Hamna bwana sisi CCM huwa tuna busara sana tunajiachia tu.
Ngoja nimwite rafiki yako TanganianHajaonekana. Mzee wa kulamba asali. Nadhani itakuwa yupo reserve anasubiria kufanya Kampeni mkoani mwake Tanga.
Huyu Mzee wa Pwani ana maneno sana nadhani atatumika kwa wakati wake kumnadi mgombea Urais wa CCM.
Huyu ni MwanaCCM kindaki ndaki, kada mzoefu ambaye tunamwitaji aongezee nguvu katika harakati hizi
Eti watu wabaya wanakufa hakafu wazuri wanabaki...kweli sheikh?Hamna bwana sisi CCM huwa tuna busara sana tunajiachia tu.
Mbona wanasema ni msambaaMakamba sio mtu wa pwani ,kakosea hapo.
Tanga sio Pwani?Makamba sio mtu wa pwani ,kakosea hapo.
Mzee miguu imevimba kama ya tembo hawezi tena kitu kwa sasa.Hajaonekana. Mzee wa kulamba asali. Nadhani itakuwa yupo reserve anasubiria kufanya Kampeni mkoani mwake Tanga.
Huyu Mzee wa Pwani ana maneno sana nadhani atatumika kwa wakati wake kumnadi mgombea Urais wa CCM.
Huyu ni MwanaCCM kindaki ndaki, kada mzoefu ambaye tunamwitaji aongezee nguvu katika harakati hizi
Aliongea utopia kipindi cha JPM kuwa atatubatuza kwa moto akabatizwa yeye.Hajaonekana. Mzee wa kulamba asali. Nadhani itakuwa yupo reserve anasubiria kufanya Kampeni mkoani mwake Tanga.
Huyu Mzee wa Pwani ana maneno sana nadhani atatumika kwa wakati wake kumnadi mgombea Urais wa CCM.
Huyu ni MwanaCCM kindaki ndaki, kada mzoefu ambaye tunamwitaji aongezee nguvu katika harakati hizi
Ila wewe jamaa mnafiki sana...Hajaonekana. Mzee wa kulamba asali. Nadhani itakuwa yupo reserve anasubiria kufanya Kampeni mkoani mwake Tanga.
Huyu Mzee wa Pwani ana maneno sana nadhani atatumika kwa wakati wake kumnadi mgombea Urais wa CCM.
Huyu ni MwanaCCM kindaki ndaki, kada mzoefu ambaye tunamwitaji aongezee nguvu katika harakati hizi
Usambaani ni Pwani? 😂Mbona wanasema ni msambaa
Wasambaa sio watu wa pwaniMbona wanasema ni msambaa
Haijui Tanga huyo ,watu kuanzia Korogwe kwenda huko sio watu wa pwani.Usambaani ni Pwani? 😂
Yule ni msambaa ,wako kaskazini sio watu wa pwani ... Wasambaa wana muingiliano na wapare na wachaga ...Ni jamii mbili tofauti ,watu wa pwani ni wadigo.Tanga sio Pwani?