Mzee Yusuph njaa imempiga kaamua kurudi kwenye Muziki

I AM NO ONE

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2020
Posts
389
Reaction score
576
Habari hivi wanaume wenzangu hili la huyu mzee yusuph tumuweke kundi gan ? kigeu geu au paka mapepe..si alisema mwenyewe htaki dhambi hta kidgo sasa kamrudia Mungu.
 
habari hiv wanaume wenzangu hili la huyu mzee yusuph tumuweke kundi gan ? kigeu geu au paka mapepe..si alisema mwenyewe htaki dhambi hta kidgo sasa kamrudia mungu.
Yani unasema na we ni mwanaume? Halafu habari ya kiudaku ya kiswahili namna hii kweli unakua mwanaume kweli?
 
Yani unasema na we ni mwanaume? Halafu habari ya kiudaku ya kiswahili namna hii kweli unakua mwanaume kweli?
huu sio udaku ila mzee ka prove weakness kubwa kama gentleman
 
'usitukane mamba kabla hujavuka mto'

eti mziki wa kishetwani;na shetani ameshamtema kwenye taarabu yake

alibugi,alitaraji angekuwa analipwa mshahara na maustaazi kumbe wao nao wanamtegemea
 
Kaomba poh

Jr[emoji769]
ila tumuombee mung tu game limkubal kama zaman apate hela zimsaidie maana jamaa dizain kama anawake wawili vile ndo wamemtoa jasho kuwalisha hahahaha
 
'usitukane mamba kabla hujavuka mto'

eti mziki wa kishetwani;na shetani ameshamtema kwenye taarabu yake

alibugi,alitaraji angekuwa analipwa mshahara na maustaazi kumbe wao nao wanamtegemea
kigue geu yule dini inataka ujitoe haswaaaa
 
'usitukane mamba kabla hujavuka mto'

eti mziki wa kishetwani;na shetani ameshamtema kwenye taarabu yake

alibugi,alitaraji angekuwa analipwa mshahara na maustaazi kumbe wao nao wanamtegemea
Dah kwa hyo maustadh walikuwa wanakula pesa alizovuna wakati ulee kabla hajaokoka eee sasa zimeisha wamemtenga
 
Wahenga walisema "adui wako muombee njaa " utamshika kama kuku.
 
Inawezekana alikuwa anategemea biashara sasa biashara imeenda vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…