Mzenjiberi ndani ya nyumba

Mzenjiberi

Member
Joined
May 30, 2012
Posts
25
Reaction score
3
Habari wana JF nimeingia Mzenjiberi katika ukumbi wenu. Nimeona niingie kushiriki katika mijadala hasa ya siasa kwa sababu naona mambo mnayojadili yananigusa sana , zipo hoja za msingi lakini zipo PUMBA za kutosha pia. Nami sasa nimengia ulingoni. Mimi ni muumini wa JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR, naomba hili niliweke wazi mapema sana.
Nina ndoto ya kuiona Zanzibar Huru katika jumiuia ya Afrika Mashariki kama itakavyokua Tanganyika, Kenya ,Rwanda,
Burundi n.k. Kama Sudan ya Kusini wameweza kujitenga kwa nini sisi tushindwe?
 
Vipi mkuu mara baada ya kuvunja muungano utakuwa kundi gani kati ya haya? Mzanzibara au mzanzibari?? au wewe utakuwa mpemba?
 
Zanzibar siyo nchi....ni kama wilaya ya Bagamoyo tu. by waziri mkuu Pinda.
 
Unafata nini kwa Wabara? Rudi kwenu Mzalendo.net
 
haya nena waliyokutuma kuja kuyasema bara! waeza nitumia urojo mie? nimeumiss!
 
Msimtishe mgeni. Karibu sana Mkuu, tuko pamoja.
 
kjana inaelekea huupendi muungano!! umekutenda nini?? but karibu jamvini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…