Mzigo mzito mpe Mnyamwezi! Tunakuombea kila la kheri Dkt. Biteko kwenye mambo ya Umeme na Mafuta

Kumbe Dotto ni mnyamwezi?? Hapo unyama ni mwingi!! Dotto Biteko Side Mnyamwezi all the best.

NB!! Bajaji ni mpya na nguvu pamoja na uwezo inao, lakini, kuvuta tela la tani 40 kupanda mlima kitonga sidhani!
 
Kwamba aliyekutwa na ngozi ndo mwizi kumbe aliyebeba minofu yuko pembeni naye anakemea na washkaji mwiziiiiiiii mwiziiii
 
Wakulaumiwa ni mama kwa kuwapa wahuni kuongoza wizara ya nishati na hususan tanesco. Hapo Kipara kashafanya vitu vyake na bila shaka kasepa huku mitego yake nishati iko intact. Watu kama hao hawanaga weledi wala uzalendo. Uroho tu wa madaraka mali ndio muongozo wao. Hapo wamemuachia mshamba atengeneze ili uchaguzi 2025 warejee tena and then watajua tena ujanja gani watumie.
 
Kumbe Dotto ni mnyamwezi?? Hapo unyama ni mwingi!! Dotto Biteko Side Mnyamwezi all the best.

NB!! Bajaji ni mpya na nguvu pamoja na uwezo inao, lakini, kuvuta tela la tani 40 kupanda mlima kitonga sidhani!!
Hata Wamarekani weusi wale " mbavu nene" ni Wanyamwezi bwashee πŸ˜„

Wa Kiume !
 
Tulipofika sio pa kutafuta Mchawi bali kufanya toba
 
Tuache utani Kalemani kaacha alama TANESCO sioni mwingine wa kufit pale
 
Mtaomba mpaka mchubuke ngozi za magoti ila kama hakuna Trilioni 4 walizotaka Tanesco umeme hautakuja kukoma kukatika hapa Tanzania hata kama Mwakani umeme wa bwawa unaanza ambao napo ni mtambo mmja tuu ndio utawashwa.
 
Trilioni 4 labda wakalime mpunga Mbarali kwa akina Abdul Nondo πŸ˜€πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…