bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,337
- 2,339
Ni mwendo wa kunukia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Club de nuit intense man bei laki moja na thelathiniUnaitwaje na bei yake ni ngapi mkuu?
Laki na 30Kwani sh ngapi?
Acha ninuke jasho tu😁😁Club de nuit intense man bei laki moja na thelathini
[emoji23][emoji1]Acha ninuke jasho tu[emoji16][emoji16]
Dah qqqmmmkkk 😁😁😁😁😁Acha ninuke jasho tu😁😁
Sasa oerfume laki moja kaka mi kuipata laki moja mwezi mzma nahustle ndo naikamata leo ninunue perfume kweLi😁😁😄Dah qqqmmmkkk 😁😁😁😁😁
Sasa oerfume laki moja kaka mi kuipata laki moja mwezi mzma nahustle ndo naikamata leo ninunue perfume kweLi[emoji16][emoji16][emoji1]
[emoji23][emoji23] khaaa!Acha ninuke jasho tu[emoji16][emoji16]
Sasa fanyeje wakati laki ndo kipato cha mwezi mzima..!? Tunaishi tuwezavyo na si tupendavyo[emoji23][emoji23] khaaa!
Yupo sahihi sijampinga. Ni vizuri kuishi pale mtu uwezo wako umefikia vinginevyo ni kujipa matesoSasa fanyeje wakati laki ndo kipato cha mwezi mzima..!? Tunaishi tuwezavyo na si tupendavyo
Acha tu laki ili niipate mwezi mzma acha ninunue escoda ya buku 5 au ninuke jasho tu😁😁[emoji23][emoji23] khaaa!