bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,337
- 2,339
Club de nuit intense man bei laki moja na thelathiniUnaitwaje na bei yake ni ngapi mkuu?
Laki na 30Kwani sh ngapi?
Acha ninuke jasho tuππClub de nuit intense man bei laki moja na thelathini
[emoji23][emoji1]Acha ninuke jasho tu[emoji16][emoji16]
Dah qqqmmmkkk πππππAcha ninuke jasho tuππ
Sasa oerfume laki moja kaka mi kuipata laki moja mwezi mzma nahustle ndo naikamata leo ninunue perfume kweLiπππDah qqqmmmkkk πππππ
Sasa oerfume laki moja kaka mi kuipata laki moja mwezi mzma nahustle ndo naikamata leo ninunue perfume kweLi[emoji16][emoji16][emoji1]
[emoji23][emoji23] khaaa!Acha ninuke jasho tu[emoji16][emoji16]
Sasa fanyeje wakati laki ndo kipato cha mwezi mzima..!? Tunaishi tuwezavyo na si tupendavyo[emoji23][emoji23] khaaa!
Yupo sahihi sijampinga. Ni vizuri kuishi pale mtu uwezo wako umefikia vinginevyo ni kujipa matesoSasa fanyeje wakati laki ndo kipato cha mwezi mzima..!? Tunaishi tuwezavyo na si tupendavyo
Acha tu laki ili niipate mwezi mzma acha ninunue escoda ya buku 5 au ninuke jasho tuππ[emoji23][emoji23] khaaa!