Mbona c wanaume hatuna hofu ya kuchanika suruali zetu wala hatubebi cherehani?
weee acha tu khanga ina matumizi mengi kuliko maelezo! Yalio halali ndani ya ndoa na yasio halali nje ya ndoa pia.
Mbona c wanaume hatuna hofu ya kuchanika suruali zetu wala hatubebi cherehani?[/QUO
ladies si tunavaa zilizotushape na tite vilevile, na kama tena umejaliwa inye tena ndo balaa.
hii nimeipenda:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:Mimi nimemwagiza da sophy wangu sabuni (odourless) na mafuta yangu viwe sehemu ya mizigo yake.
Inasaidia sana Teamo......hii nimeipenda:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Bana si unajua harufu ya vile visabuni vidogo??? Balaa....Sabuni ordouless........................mmmh! (Shusha pumzi!)
Wazee wa detection na ukaguzi TAKE NOTE!π‘
Mbu kama unataka kuuliza swali hilo basi uwe tayari kwa kasheshe itakayozuka kufuatia swali hilo.
Baba Mwenye nyumba: Hiyo Kanga uliyoifukiza kwa manukato unaiweka kwenye kijaluba chako unaenda nayo wapi?
Mama mwenye nyumba: Kwani wewe unafikiri ninaenda nayo wapi?
Kitakachofuata baada ya wote kuulizana maswali anakijua Mungu na kama hukujiandaa utajuta kuzaliwa.
Mungu atunusuru!
Bana si unajua harufu ya vile visabuni vidogo??? Balaa....
kisha da sophy original sijui katokomelea wapi!
Me huwa sibebi khanga kwenye mkoba wangu ila kuna siku nilimuona mdada alivaa suruali ya kubana sana sasa ile ani inama kuokata cjui nini suruali yote pwaaaaaaa ikachanika yaani ilikuwa bonge la aibu bahati mama mmoja akatoa khanga kwenye mkoba kamsitiri yaani halafu hapo pembeni kulikuwa na madreva taxi walimzomea mpka basi maana waliona kila kitu me nadhani khanga ni muhimu kwa matumizi sahihi
πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:Lolz Kaka hapa umeua mazima!
Kweli bana; maana hebu fikiria kila kukicha mtu anabeba kilo nne begani; wanaweza kujazia mkono mmoja bila kujijua!
visabuni vile sijui kwanini gesti wanavipenda sana!....Bana si unajua harufu ya vile visabuni vidogo??? Balaa....
Huwezi jua ndugu yangu....labda nyumbani maji ya mgao na kuoga inabidi shurti kwa ndoo...lakini kazini yanatoka na kuna raha yake ya kujiachia ukapata "shawa" yako kabla ya kurudi nyumbani.