Habari ndugu zangu,
Kwanza niwape pole kwa majukumu na pia niwafahamishe kuwa mzigo wetu umewasili japo kuna hitilafu kidogo, box lenye power bank za 5600mAh nasikitika kusema halikuonekana wakati nachukua mizigo yangu na wameniomba niwape muda walifuatilie. Ila zile za 13000mAh zimepona na zipo available. Karibuni sana
NB: Kwa walio Dar ntakuletea pale ulipo au unaweza kufika ofisini Kinondoni Studio, opposite na Stereo Bar.
Bei yetu ni tshs 70,000/= badala ya ile ya wahindi ya 120,000/=
Call: 0655003510
Kwa ajili ya umeme au simu??
Ina port mbili za kuchomeka usb na zipo zenye port moja. Power yake ni 13000mah ko hamna simu itashindwa kuicharge ikajaa.Inauwezo wa kucharge android ikajaa?mana hizi nyingi ni sa ubabaishaji unakuta hazicharge kabisa..ikikaa dakika 20 imeishiwa nguvu looh....yako inauwezo wa kucharge simu mara ngapi ful battery??na ina port ngapi za kuchomekea??
Nahitaji Iyo power bank ya 13,000mAh mimesoma post yako iliyopita
Umesema ukiicharg inakaa siku 10 una hakika ama umeongea kuvutia wateja?
Naomba unijibu kiuhalisia kabisa nisije ichukua af inakaa siku 7 ama
6badala ya siku10 kama ulivyoahidi wadau
Na una waranty mda gani?
Naomba unijibu tafadhali na unihakikishie
Ahsante,,pamoja mkuu
Kutokana na maelezo yao wakati nazichukua ndo walinihakikishia ivo, na ni kampuni ya kuaminika kwasababu hizi power bank zao zinauzwa mpaka marekani. Wametoa warrant ya miezi sita na kuna warrant card ndan ya box la power bank. Kwahiyo ni mali ambayo wanajiamini.Nahitaji Iyo power bank ya 13,000mAh mimesoma post yako iliyopita