Asante dear
Kwa sababu mimi ni mzigua na nilizaliwa 1990... ndo ilipopatilana Mzigua90
Hapana huyo ni Beyonce
Niliona huku ni sehemu sahihi ya kujifunza na kusocialize. Vitu vingi sana vinavyoendelea duniani huwa najifunza humu.
Hongera kwa kuwaenzi wahengaKwa sababu mimi ni mzigua na nilizaliwa 1990... ndo ilipopatilana Mzigua90
Haha unafanana kwa namna yeyote Na Beyonce?Hapana huyo ni Beyonce
Unaitofautishaje jf Na mitandao mingne mf fb instaNiliona huku ni sehemu sahihi ya kujifunza na kusocialize. Vitu vingi sana vinavyoendelea duniani huwa najifunza humu.
salaaale.
Yeah huwa nashindwa kuingia sometimes, najisikia kama **** kitu kimekosekana kufanyika siku hiyo..Hongera kwa kuwaenzi wahenga
Kuna siku inapita bila kuingia jf Na ikitokea unajisikiaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia ninja!Meambie nampenda sana maya dada huyu.
Afu akishamliz tu interview anitafute nimtumie ile picha niliyomtumiaga miss chagga.
Hata kidogo...
Vocha Na bando bora nnYeah huwa nashindwa kuingia sometimes, najisikia kama **** kitu kimekosekana kufanyika siku hiyo..