Mziki wa kupata mchepuko?!

Mziki wa kupata mchepuko?!

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Straight to the point.

Bro wangu alizinguana na mke wake, home kwake akueleweki kabisa, alafu kukununua anaogopa magonjwa, akawa anatafuta mchepuko, kahustle sana, akanishtua mdogo wake . Ni mlink na University girls na watu nawajua, tukaanza mission tembelea bar na vijiwe vyote Dodoma, kila siku tupo mtaani, ni mimi Nisiye na ndoa ilikuwa simple sana kwa Hawa vijana.

Yeye kila akilusha mistari wanachomoa, maswali mengi Sana na usumbufu mwingi . Ndani ya 2 weeks kama 1m imekata mchepuko wa maana hana. Mimi nilikuwa busy na shule . Ila nilimpa number nyingi sana za kujaribu . Wote tulikuwa na usafiri, nilimtambulisha hadi na mamiss Universities , wanachomoa. Ili mchukua miezi 3, akapata single mother mmoja pisi kali kikuyu huko tena by accident. Akiwa safarini. Akatulia nae . Maana wife wake alikuwa kisilani sana.

MY TAKE :
Usione mtu anaLinda mchepuko wake, kupata mchepuko unao muheshimu mke wako kazi sana. Ni wachache sana wapo na wenye bahati tu wanapata. Ukiona mtu anaMpigania mchepuko wake kaa kwa kutulia, ujui hustle. Ukikua utajua.
 
Katika maisha usifanye kosa kubwa kama hlo la kutafuta mwanamke... mwanamke wa maana utakutana naye kwenye harakati za kila siku.

Apunguze vigezo chukua mama ya kawaida tu mbona zipo nyingi zina nidhamu.

Apunguze ubahili 🤣
Kama ataweza aextend mtandao wa marafiki na awe anahudhuria maeneo mengi yenye mkusanyiko kama matamasha, harusi, kwenda viwanja kuenjoy na kwingineko
 
Kuna jambo moja umesahau kumwambia kuwa na mchepuko ni gharama sana,lazima atimize mahitaji yake yote Kodi,chakula,usafiri,saloon,vocha,matibabu,simu nk. tena huyo ndugu amepata mchepuko single mother lazima alipie mpaka ada ya mtoto
 
Huyo bro wako atakuwa domo zege,muda wote huo utadhani,ni mchimba madini mgodini anatafuta dhahabu dah!!.
 
Back
Top Bottom