MZIKI WA TZ KUBADILIKA BADILIKA ndokuendelea ama nini??

Justin Dimee

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,146
Reaction score
248
Kuna miziki imeigia sikuiz sijui inajitaje napo isikiaga sehemu huwa na vurugwa sana lakini saivi ndonashanga imekua pendwa sana mpaka kwenye ma dcm boda boda wanaipenda sanq kilichoimbwa ni cjui madudugani?
IlE YAKWENYE VIGODORO JAMANI??.,
nilipanda mdalala wa mbagala kkoo mpaka nikaomba kushuka nikapanda gar nyingine
sijui wanaimba simba mshabiki wadamu sijui machimbo eriya yani aiseeh ivi vitoto vimetoka wapi jamani wemeharibu sana uzuri wa mziki uki ka kwenye kibaar unapata moja kidogo utasikia yanga mshabiki wadamu mmmmh apana miziki inabadilika but sio uku unapoelekea mbona Nigeria umebadilika nakua international kwa wa tz sijui unaendaje?
 
aina hizo za mziki n ya KIZARAMO hvo hauwez ibadilsha wakat wao ndio wenyej wa dar..

kuna moja wanakwambia:-
"NAKU BWIPU HAUBWIPIKI"..

haahaa hatar sana..
 
Yaani niki isikia mpakaa nashikwa na njaa naichukia haswaah?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…