Mziki wetu wa Tanzania unaelekea wapi?

Mziki wetu wa Tanzania unaelekea wapi?

Ndundame

Member
Joined
Jul 8, 2023
Posts
60
Reaction score
72
Yanayoendelea kwenye tasnia ya Musiki Tanzania naona wasanii wanaturudisha miaka 10+ iliyopita. Teams na ushabiki usio na tija unapewa kipaumbele sana balada ya kusongesha mziki kimatafa.

Tunazipa nafasi battle za ndani, tena mbaya zaidi hadi kwa wasanii ambao walianza kuonesha kupiga hatua katika kuipeperusha bendera ya nchi. Hapa namuogelea Diamond kutumia nguvu nyingi kwa hawa new comers ni kujishusha mwenyewe,maana sio level zake, ni ukweli usiopingika tukiweka ushabiki pembeni.

Ila kuendelea kufanya hivyo ni kudhihirisha kuwa amedrop. Kama kashindwa battle za nje angetoa support tu kwa wenzie wakapambe au wangeongeza nguvu pamoja

Viva Mmakonde, undelea kukaza sema ongeza collabo za nje maana ndio njia pekee ilimbeba mwalimu wako hata tukaanza kumuona akiwania tuzo za nje.

Chino kumfananisha na wakubwa wake wakati anawahitaji kumsapoti ni kuua safari yake ambayo ndio kwanza inaanza kuiva.

Hitimisho:
Mashabiki tunahitaji mapinduzi ya tasnia Tanzania, wenzenu bongo wanaanza kuamka.
 
Back
Top Bottom