Mzimbabwe amnanhii punda!

Rungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2007
Posts
3,932
Reaction score
1,726
Nimezidiwa na penzi la punda - adai Mzimbabwe!



HARARE, Oct 26 - Mkazi mmoja wa mji wa Zvishavane, takribani maili 185 kusini mwa Harare anatuhumiwa kumlawiti/kufanya ngono na punda. Lakini kwa hali isiyo ya kawaida mtuhumiwa huyo amedai kuwa ajuacho yeye ni kwamba alimlipa changudoa dola 25 jumamosi usiku na alipoamka jumapili yule changudoa alikuwa amegeuka kuwa punda.

"Sijui ni kitu gani kilichotokea baada ya kuondoka baa usiku wa tukio. Nafikiri na mimi nimegeuka kuwa punda. Kwa hivi sasa nimezidiwa na penzi na huyu punda", mkazi huyo ajulikanaye kwa jina la Sunday Moya alimwambia hakimu mkazi, kufuatana na gazeti la The Herald.

Moyo ambaye ana umri wa miaka 28 amefunguliwa shtaka la kufanya ngono na mnyama (bestiality) na mahakama imetoa amri akachunguzwe akili yake kama iko timamu. Moyo alikamatwa akifanya uchafu huo jumapili iliyopita.

Imeripotiwa na Capital FM
 
duh! jamaa mmoja huko Tanga aliwahi kuchukua jini, enzi hizo majini Tanga ndo nyumbani kwako, jamaa katoka bara anaelekea mombasa akashuka Tanga mjini kwanza ili aponde maraha ndo aendelee na safari yake ndo akakutana na dem mkali kumbe jini, kufika guest wapo kitandani dem akanyoosha mkono kuzima taa kutokea kitandani jamaa akazimia, kuja kushtuka yupo mwenyewe, ahahahahaha, ingekuwa mimi nakula zigo kwanza kisha namwambia aondoke na mikono yake inayorefuka, ahahahahaha
 
Hiii kali ya mwaka,huyo jamaa badala akimbie mtu kageuka punda ndio anamng'ang'ania,lzm atakuwa chizi, sipati picha kwa style inayotumika hapo lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…