Mzimu Nyangeta uliopo katika mji mdogo wenye mambo ya kishirikina na utajiri wa kishirikina uitwao Lamadi

Hii kitu inakaukweli ndani yake japo ni ngumu kuamini ila nimeshaisikia hii story kutoka kwa askari mmoja hivi alikuja kijiweni wakati Mkuu wa polosi alipo ingia Bariadi juu ya hili suala la vifo vya wanawake!

Askari alitupa hadithi ambayo na yeye alishiriki kumpatia kibano kikali huyo jamaa .

Inasemekana jama alienda Bank ya CRB alifanikiwa kuingia pasipo kuonwa na mtu na kuchukua pesa nyingi sana alibeba kwenye Kiloba ,
Sasa wakati anatoka alikosea masharti ambayo yalipelekea kuonekana pindi anatoka nje na alishafanikiwa kutoka ila alichelewa muda !

Yaani mganga alimpa muda wa kufanya tukio ukizidisha tu basi watu watakuona na yeye aliona na askari akiwa nje kasimama anataka kuchukua usafiri nje ya Bank!

Jamaa wakati anasimulia anasema ni kijana mdogo sana! Lakini anautajili wa kufa mtu! Ana nyumba nyingi na nzuri sana !

Sasa wakamuliza huyo mganga anakopatikana na masharti yake.

Alichokisema ni kwamba mganga ana mtoto wa kike kwa hiyo ukieleza shida zako unapewa kulala na huyo bint usiku mpaka asubuhi alafu ndyo unapewa maelekezo mengine namna ya kufanya na ukaenda sehemu yeyote kuchukua pesa pasipo kuonekana na mtu yeyote!

Samahani kwa namna ya uandishi! Ila ni habari za kweli kabisaa!
Mimi nipo Bariadi Town!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu wangu ni mwema sana... Zamani ungeshasikia muite Mshana Jr athibitishe au mambo ya Mshana hayo... Asante Mungu baba kwa Neema hii kuu...

Jr[emoji769]
Hii habari ni ukweli kabisa Mkuu nipo Bariadi na nilisimuliwa na Askari ambaye Alikuwepo katika kumpa kichapo muhusika alikamatwa akiwa anatoka Bank na mabulungutu ya pesa kwenye Kiloba na kavaaa mailizi ya kutosha![emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio huyo kijana peke yake, walikuwa kikundi cha watu wengi. Na kilichotokea ni kwamba kuna kipindi mwaka jana walienda na huyo Nyangeta hadi Tabora na bahati mbaya wakiwa bad huko tabora walidhulumiana mapato waliyokuwa wanayavuna kutoka kwa huyo Nyangeta, ikapelekea mmoja wao kurudi nyumbani Lamadi na kuja kutoa siri zote na hata mali walizonazo. Ishu kubwa ndo ilianzia hapo, lakini pia ndani ya mwaka mzima watoto wadogo hususani watoto wa kike wakawa wanapotea katika mazingira ya kutatanisha na wengine kuja kuonekana japo wakiwa wameshauliwa tayari.
 
Mhh Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina maana kwamba kile kilichoelezwa na mtoa mada ni sahihi !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyege............ta

Sent using boeing 737 max8
 
kweli pesa inatamafutwa ,kila mtu na njia yake .
 
Alienda lamadi ni G.I.P wa sasa na wakabadilisha RPC mkuu acha kahawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…