Mzimu Nyangeta uliopo katika mji mdogo wenye mambo ya kishirikina na utajiri wa kishirikina uitwao Lamadi

Raia walijua ni Chai. Asante kwa Ushuhuda Mkuu
 
Nadhani Kova umechukulia Kama ni cheo flani kwenye Jeshi la Police [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama r.i.p Nyerere ilivyokaririsha waTz kuwa hilo ndiyo jina la cheo cha urais.
Niliwahi kusikia vizee vikiuliza miaka ya 80' ....'Nasikia rais wa Zanzibar Mwinyi kachaguliwa kuwa nyerere'...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kuiba bank hela kwa kutumia uchawi...never never never....Bank wanaiba kwa kutumia nguvu, hujuma za wafanyakazi na njia zingine za kijanja kama wizi wa kimtandao lakini sio kichawi...Lamadi ni mji wa hovyo sana, hamna kitu pale kwenda mpak simiyu huko hamna kitu watu ni washirikina sana na hii ni kwa sababu watu wake wengi hawathamini elimu ni poor minded sana...hawajui hata kuwekeza akipata hela ni kujenga nyumba, kununua ng'ombe au kununua Tata za kusafirisha abiria toka Bariadi kuja Mwanza....hilo eneo litabaki kuwa na umaskini wa kutupwa na ufukara mpak watakapothamini Elimu...
 
dah kuna demu mzuri kinyama anaitwa nyangeta nilitaka niapply anti-log sasa naahirisha nisijesaundisha msukule bure!
 
Wewe unaleta story za ulongo ili utangaze ushirikina wako wa kitapeli.
Kwanza kova kashastaafu kitambo na kastaafu akiwa kamanda wa kanda maalum Dar.
Kova na Lamadi iliyoko huko Simiyu...pembeni ya mto Lubana na karibu na geti la Ndabaka la kuingilia mbuga ya Serengeti wapi na wapi?
 
Mkuu kuna uhusiano kati ya kupotea kwa watoto na huyo Nyangeta? au huyo kijana anayechukua pesa benki
 
Tulivyoaminishwa ni kwamba ndumba haifanyi kazi Bank sababu Kuna mazindiko na ulinzi wa wakuu wa majini mle Sasa inakuwaje huyo kidudu-mtu aingie humo kishirikina na kufanya manouver yake?
Mshana Jr ebu ukuje huku utoe ufafanuzi maana wanatuvuruga hawa!!
 
Kwa taarifa yako kuna watu wasomi kuliko hata wewe,suala la ushirikina lipo kila mahali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Typing era,kakosea tu akamtaja kova,ila ujumbe umefika na hiki kitu kipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana hilo suala la kupotea kwa watoto na suala la nyangeta ni vitu viwili tofauti,maana suala la nyangeta lilianza likaisha baada ya wahusika kukamatwa na kupelekwa kituo cha polisi BUSEGA,baadaye liliibuka suala la watoto na akina mama kuuawa,tukumbuke suala kama hili lilianzia njombe,bila shaka mpaka leo hii serikali imeshajua nani NYANGETA NA NANI MUUAJI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…