Yap mkuu umenena ubaya wao wanatumia mbinu za kizamani ambapo huu sio wakati wake mf. Ancelot nilitokea kutompenda baada ya kutuborongea Alianz Arena.Heri ya sikukuu ya Noeli wana JF,
Hivi kuna watu wengine wanaota hii ndoto mbaya ambapo Jose Mourinho anakaribia kupatwa na maafa kama yaliyomkuta Coach mzoefu Carlo Ancelotti pale Bayern Munchen?
Naona zama za waalimu wakongwe kustaafishwa kilazima na vijana zimewajia.
Mzee Alex Ferguson aliona mapema ishara mbaya. Wenzie akina Wenger, Carlo Ancelotti, Moyes, Van Gaal, n.k wanakumbwa na huu upepo.
Nawatakia sikukuu njema ya Noeli na mwaka mpya shabiki wote wa Manchester United.
God bless you.
Mourinho hapo alipofka ni anapongezi nyingi kutoka kwa mashabiki wa mashetani kila kona ya dunia hasa wanaoufaham mpira acha mashabiki andaziHeri ya sikukuu ya Noeli wana JF,
Hivi kuna watu wengine wanaota hii ndoto mbaya ambapo Jose Mourinho anakaribia kupatwa na maafa kama yaliyomkuta Coach mzoefu Carlo Ancelotti pale Bayern Munchen?
Naona zama za waalimu wakongwe kustaafishwa kilazima na vijana zimewajia.
Mzee Alex Ferguson aliona mapema ishara mbaya. Wenzie akina Wenger, Carlo Ancelotti, Moyes, Van Gaal, n.k wanakumbwa na huu upepo.
Nawatakia sikukuu njema ya Noeli na mwaka mpya shabiki wote wa Manchester United.
God bless you.
Huu uzi una matter sana kwa mwaka tulionao. Ni kweli Mourinho afate kama mwenzake babu Ancelloti akafundishe timu ndogo. Hana maajabu zama zake ziliisha Inter Milan.
Kwa suala la Pep kuharibu Bayern nakubaliana na wewe. Mourinho kwani alivyokua Man U hakupewa mafweza ya kutosha kusajili lakini bado akachemka?Klop kasajili wachezaji wa kila aina na bado anafungwa, hivi kwa Kikosi kama Tottenham ambacho hakina mshambuliaji kwa sasa ulitaka miujiza gani ifanyike? Kati ya watu walioiharibu Bayern ni pamoja na Pep.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni ujanja ujanja, Mo msimu wa kwanza Man Utd alikuwa wa pili kwenye ligi pamoja na kuchukua Uropa, msimu uliofuata akatimuliwa akiwa wa saba kwenye ligi na akiwa bado yupo UEFA tena akiwa amemfunga Juventus nyumbani. Kuna wachezaji Mo aliwataka hasa kwenye safu ya ulinzi, wachezaji aliowahitaji ni pamoja na Harry McGuire ambaye alisajiliwa baadae. Ila angaalia Ole ndio kapewa karibia kila kitu ambacho Mo alitaka kiwepo, Ole mwenyewe hana dalili ya kubeba kombe lolote kwa sasa lakini club iko tayari kusimama nae, kwa Mo ndani ya msimu mmoja walitaka wabebe makombe yote.Kwa suala la Pep kuharibu Bayern nakubaliana na wewe. Mourinho kwani alivyokua Man U hakupewa mafweza ya kutosha kusajili lakini bado akachemka?
Mo kaishiwa tuache ushabiki. Mimi ni realist. Hata huyo Pep amechemka sana.
Acheni ujanja ujanja, Mo msimu wa kwanza Man Utd alikuwa wa pili kwenye ligi pamoja na kuchukua Uropa, msimu uliofuata akatimuliwa akiwa wa saba kwenye ligi na akiwa bado yupo UEFA tena akiwa amemfunga Juventus nyumbani. Kuna wachezaji Mo aliwataka hasa kwenye safu ya ulinzi, wachezaji aliowahitaji ni pamoja na Harry McGuire ambaye alisajiliwa baadae. Ila angaalia Ole ndio kapewa karibia kila kitu ambacho Mo alitaka kiwepo, Ole mwenyewe hana dalili ya kubeba kombe lolote kwa sasa lakini club iko tayari kusimama nae, kwa Mo ndani ya msimu mmoja walitaka wabebe makombe yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mourihno alikuwa na wachezaji wazuri kuliko ole aliowakuta/alivyowakuta..Ole ndo anasuka mipango yake sasaAcheni ujanja ujanja, Mo msimu wa kwanza Man Utd alikuwa wa pili kwenye ligi pamoja na kuchukua Uropa, msimu uliofuata akatimuliwa akiwa wa saba kwenye ligi na akiwa bado yupo UEFA tena akiwa amemfunga Juventus nyumbani. Kuna wachezaji Mo aliwataka hasa kwenye safu ya ulinzi, wachezaji aliowahitaji ni pamoja na Harry McGuire ambaye alisajiliwa baadae. Ila angaalia Ole ndio kapewa karibia kila kitu ambacho Mo alitaka kiwepo, Ole mwenyewe hana dalili ya kubeba kombe lolote kwa sasa lakini club iko tayari kusimama nae, kwa Mo ndani ya msimu mmoja walitaka wabebe makombe yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tutajie hao wachezaji wazuri aliowakuta Mo na ambao Ole hakuwakuta.Mourihno alikuwa na wachezaji wazuri kuliko ole aliowakuta/alivyowakuta..Ole ndo anasuka mipango yake sasa
Na msimu wa kwanza mourihno alikaa nafasi ya sita..wewe umesema nafasi ya pili
AliowasajiliHebu tutajie hao wachezaji wazuri aliowakuta Mo na ambao Ole hakuwakuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliowasajili
√Pogba,Ibrahimovic,Mhkitaryan(Bundesliga best player),Bailly
Aliowakuta
Herrera (alikuwa on form),Rojo(alikuwa on form),Blind alikuwa poa,Martial alikuwa form,Rooney+Mata+Carrick=Maturity+leadership
Ole anajaribu kuondoa reject na kuanza kupanga karata zake..na sajili zake zimeonyesha ubora kiasi fulani kuliko sajili za Mou..
Rooney na Carrick hata hawakuwa wakipangwa first eleven..Yupo spurs now..leta mrejeshoWewe jamaa una utani mbaya, Rooney + Carrick walikuwa wanamalizia pension zao pale ila uwezo wa kupambana ulikuwa umeisha, Erick Bailey na Pogba siku zote spana mkononi kuanzia kipindi cha Mou, Martial matatizo yake ni yale yale kuanzia kipindi cha Mou, tena kuanzia Mou aondoke kipaji cha Lingard kimejifia tu, Mou ni lile baraza la wazee Rooney, Carrick, Ibrahimovich, Sanchez, Valencia na Ashy Young bado alipambana kweli kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikosi cha Spurs ujue kilianza kuflop chini ya Pochetino hivyo kuhitaji kusukwa upya, na hata key players waliokuwepo ni majeruhi kwa sasa, tusubiri afanye usajili + majeruhi kupona ndio tumhukumu kwa haki.Rooney na Carrick hata hawakuwa wakipangwa first eleven..Yupo spurs now..leta mrejesho
Huu uzi una matter sana kwa mwaka tulionao. Ni kweli Mourinho afate kama mwenzake babu Ancelloti akafundishe timu ndogo. Hana maajabu zama zake ziliisha Inter Milan.
Alipomtaka De Ligt/Magure/Toby aliambiwa hawana tofauti akina Phil Jones. Kocha mpya naye kamtaka huyo huyo Maguire kwa bei ya £20 zaidi. Hapo utasemaje alipewa alichotaka. Woodward mwenyewe juzi kati kakiri kuna mara mbili tatu alideliver NO.Kwa suala la Pep kuharibu Bayern nakubaliana na wewe. Mourinho kwani alivyokua Man U hakupewa mafweza ya kutosha kusajili lakini bado akachemka?
Mo kaishiwa tuache ushabiki. Mimi ni realist. Hata huyo Pep amechemka sana.