Mzimu uliomtafuna Babu Carlo Ancelotti wamnyemelea Jose Mourinho?

Msimu wa kwanza man u,mo alimaliza wa sita acha kutufunga kamba.
 
Nilifikiri unajua mpira. Sasa hicho kikosi kina balance gani hapo? Number 10 ni nani sasa, Mata?. Mikitaryan wa bundesliga unamfananisha na yule aliyeflop Man U na Arsenal pia? Eric Baily baada ya msimu wa kwanza fitnes yake ilikuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sajili zipi hizo zenye ubora. Kuacha kumdevelop Dalot na kumnunua Bisaka asiyeweza kukross kisa ana mbio! Maguire ni request ya Jose kama ni mfatiliaji unajua hilo. Fernandes ni baada ya Pogba kumwonesha Ole ngozi yake halisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spurs imejengwa around Son & Kane. Kabla ya Jowzey haikuwahi kushinda mchezo usiomhusisha mmoja kati yao tangu 2014. Jumla ya magoli yao msimu huu ni mengi kuliko wachezaji wengine wote combined.

Hakuna kocha mwingine angekifikisha kikosi cha sasa cha Spurs top six zaidi ya JM. Wachezaji walewale kila mechi kwenye namba zisizo zao bila kupumzishwa (Bergwine, Moura, Le Celso, Gedson, Dele Alli). Mimi nitampima msimu ujao.
Rooney na Carrick hata hawakuwa wakipangwa first eleven..Yupo spurs now..leta mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikosi cha Spurs ujue kilianza kuflop chini ya Pochetino hivyo kuhitaji kusukwa upya, na hata key players waliokuwepo ni majeruhi kwa sasa, tusubiri afanye usajili + majeruhi kupona ndio tumhukumu kwa haki.

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa Pochetino alifukuzwa kwa nini??

Ole mbona naye amekuwa akipata hilo tatizo la majeruhi lakini hujalizungumzia??
 
So point yako ni ipi??

Ole ana kikosi kizuri kushinda alichoanza nacho Mourihno OT??
 
Mjinga wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…