Mzimu wa maovu wazidi kuiandama Ngara

Mzimu wa maovu wazidi kuiandama Ngara

QUALITY

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
853
Reaction score
115
JUZI TAREHE 14/06/2011ASKARI WA ESALAMA BARABARANI "Traffik" wakiwa hawakuvaa sare zaowaliingia kijiji cha Murunyinya (Nyakiziba) wilayani Ngara "eti kukamata pikipiki zisizohalali nyumba kwa nyumba ". Wananchi waliwapiga sana katika harakati hizo. Kituo kikuu cha polisi mjini Ngara walipopata habari, walienda katika kijiji hicho na kupiga mabomu ya machozi na kupiga risasi hewani kutawanya wananchi kijijini humo.

Polisi walikamata kila mwanaume waliyebahatika kumtia mkononi na kuwapa mkong'oto wa hali ya juu na kuwaweka mahabusu wote. kati ya waliokamatwa ni mchungaji wa kaninsa la Anglikana Tanzania rev. Hosea Naftali Kateebo na Mwinjilist Jonas Christopher.

Kwa namna hii, Utawala wa sheria upo? au tusubili unakuja?
 
Askari wa Usalama Barabarani kwa nini walikwenda kukagua Pikipiki kwenye nyumba za watu?
Kama ni kweli hii imetokea basi ni Provocation kwa raia wa hicho kijiji, angalau hao Askari walipata walichostahili...
 
Kwani ngara ni Tanzania! Matukio yake hayafananii.
 
Naona nchi ya kibabe inazd kunoga......ipo siku mtatutoa uoga wote completely....hapo ndo tutawafrahisha.
 
Back
Top Bottom