Kevo JF-Expert Member Joined Jun 12, 2008 Posts 1,333 Reaction score 54 Jun 18, 2008 #1 Mhe.Chrissant Mzindakaya alipewa mkopo wa Shillingi Bilioni Tisa (9) Ilhali wakulima wametengewa Sh 1.4 Bilioni kwa ajili ya ruzuku ya mifugo. Jamani umaskini utaisha kweli?
Mhe.Chrissant Mzindakaya alipewa mkopo wa Shillingi Bilioni Tisa (9) Ilhali wakulima wametengewa Sh 1.4 Bilioni kwa ajili ya ruzuku ya mifugo. Jamani umaskini utaisha kweli?