Kevo JF-Expert Member Joined Jun 12, 2008 Posts 1,333 Reaction score 54 Jun 18, 2008 #1 Mhe.Chrissant Mzindakaya anadaiwa kupewa mkopo na Sirikali Kuu kiasi cha Sh.Bilioni 9 ilhali mkulima wa hali ya chini ametengewa kiasi cha Sh. Bilioni 1.4 kama ruzuku ya mifugo. Umaskini utatokomezwa kwa njia hii kweli?
Mhe.Chrissant Mzindakaya anadaiwa kupewa mkopo na Sirikali Kuu kiasi cha Sh.Bilioni 9 ilhali mkulima wa hali ya chini ametengewa kiasi cha Sh. Bilioni 1.4 kama ruzuku ya mifugo. Umaskini utatokomezwa kwa njia hii kweli?