Mzito wa Kabwela Kumbuka Kumuua kobe ni kwa kumvizia

kaisa079

Member
Joined
Nov 16, 2007
Posts
20
Reaction score
4
Kweli kabisa jama ukitaka kumuua kobe wewe shika jisu lako kubwa tu halafu mwekee majani kinywani na kuvizia akichiomoza kichwa tu unamkata! usemi huu unadhihirika katika mambo mengi sana katika maisha yetu ya kila siku,kwa mfano katika siasa Mheshimiwa Marando wa NCCR-Mageuzi alivyochomoza tu wakamchapa ubunge wa EAC,siku hizi unamsikia? walishamuua kisiasa,sasa na huyu kijana wetu 'Mzito wa Kabwela' watamfanya tu hivyohivyo si unaona Kikwete anavyomvizia kwa kumsogezea majani kinjwani? yaani kamweka ktk kamati sijui kamati gani ile,siku akichomoza tu tutamsikia SISIEMU!
 
Anakaribishwa bila kuviziwa..😀
 
Back
Top Bottom