Lis
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 471
- 347
habarini za leo wakuu,
Kuna mtoto wa dada yangu ameumia akiwa anacheza na wenzake, hajaumia ndani ya jicho lakini damu zimevilia kwa ndani, anaona vizuri lakina tatizo ni macho yote mekundu kama damu amepewa dawa hospitalini ni mwezi sasa, hakuna mabadiliko.yeyote anayejua dawa asilia anisaidie niweze kumsaidia.