Mzizi mkavu na wenmgineo tafadhalini fungueni thread hii

Lis

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
471
Reaction score
347
habarini za leo wakuu,

Kuna mtoto wa dada yangu ameumia akiwa anacheza na wenzake, hajaumia ndani ya jicho lakini damu zimevilia kwa ndani, anaona vizuri lakina tatizo ni macho yote mekundu kama damu amepewa dawa hospitalini ni mwezi sasa, hakuna mabadiliko.yeyote anayejua dawa asilia anisaidie niweze kumsaidia.
 
kuna dawa fulani kama mnyanya ni majani lakini ndo dawa kuu ya macho na hiyo ikishindwa ntakutajia zingine mana hata mimi macho yalininyima sana usingizi lkn kwa sasa nimepona. nilipatwa na matatizo mengi likiwemo la kuondokewa na mboni jicho likawa jeupe kabisa na niliponea dawa za mitishamba tuu mpaka sasa naona na mboni yangu tayari ilisharudi
 
TIBA: Weka macho yawe safi na uyakoshe kwa maji ya waridi kila wakati. Epusha macho kutokana na joto, baridi, moshi, vumbi, macho yasitumie nguvu sana kama vile kusoma sana. Tumia dawa za kulainisha choo ikiwa hupati choo vizuri kwa sababu pia huchangia katika maumivu ya kichwa na macho.awe pia anakula karoti.

Au Tumia dawa hii hapa chini :

Matatizo ya macho Asali ni bingwa kwa ajili ya macho, Pakaa asali katika macho huzidisha nuru ya macho, pia husaidia katika matibabu ya trachoma, conjuctivits na maradhi mengine ya macho, kila siku pakaa asali katika nje ya jicho na ndani ya jicho (kwa ndani ya jicho unaweza kutumia unyoya au wa kuku au ndege yoyote yule) kufanya hivo asali hupigana na kujilinda na maradhi ya glaucoma.

Asali pia husaidia kwa matatizo ya cataract, chukua 2 grams ya maji ya vitunguumaji na asali uchange pamoja upake hii kwa wale wenywe immature cataract. (Upate Asali ya nyuki mbichi tena iwe Safi ) isiyochanganywa na sukari.
 

Pole kwa tatizo la mpwa wako. Iwapo umetumia dawa kwa takribani mwezi mmoja na hakuna mabadiliko, ingawa kuona kwake kuko sawa, Ningeshauri ufike hospitali kwa uchunguzi na ushauri zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…