Jonogomero
Member
- Feb 8, 2012
- 99
- 27
Leo amebandika hapa majamvini picha ambayo imeboa members wengi sana!
Lakini vinginevyo ni mtu wa msaada sana, na amewasaidia watu wengi sana hasa kwenye masuala ya Nguvu za Kiume!
Leo amebandika hapa majamvini picha ambayo imeboa members wengi sana!
Lakini vinginevyo ni mtu wa msaada sana, na amewasaidia watu wengi sana hasa kwenye masuala ya Nguvu za Kiume!
Wana jamvi mimi binafsi napenda kutumia fursa hii KUMSHUKURU huyu Mzizi mkavu, kwa kweli amekuwa ni msaada sana kwa ss wana jamvi tulioleta matatizo yetu humu. Shukurani sana mkuu Mungu akuzidishie hekima na busara na maisha marefu ili tuendelee kupata msaada wako. Aksante
Hahahahah sawa tu nimefurahi sana nitaanzisha Blogu yangu ya Dawa inshallah nitawajulisheni ikiwa teyari.Mzizi mkavu big up,nikupe ushauri.
Anzisha kikombe cha dawa una wagonjwa wengi JF.
Kwa sasa mimi sipo Bongo ukitaka kuwasiliana na mimi niandikie email yangu ni hii (fewgoodman@hotmail.com) Mkuu.Mbali ya shukran zangu kwake bado huwa najiuliza maswali naninashindwa pata jibu na nishawahi muuliza swali hakunijibu.
Hakika kwa mchango wake hapa jamvini huwa nataman sana kufaham ofisi zake zilipo ama kama hana ofisi utujuze twaweza onana naye vipi kuna matatizo mengine hayahitaji subira ya majibu ya post.
Mwalimi siso MZIZI MKAVU