MZIZI WA FITINA WAKATWA: Sanchez rasmi Man UTD na Mkhitaryan kajiunga Arsenal

MZIZI WA FITINA WAKATWA: Sanchez rasmi Man UTD na Mkhitaryan kajiunga Arsenal

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
ENGLAND: Klabu ya Manchester United imetangaza kumsajili Mshambuliaji Alexis Sanchez kutoka Klabu ya Arsenal

Katika makubaliano hayo yamehusisha Kiungo raia wa Armenia, Henrikh Mkhitaryan kujiunga na Arsenal FC kutoka Manchester United

Sanchez mwenye miaka 29 na raia wa Chile ambaye alihusishwa kujiunga Manchester City kwa kipindi kirefu amesaini kuwatumikia Mashetani hao Wekundu kwa kandarasi ya miaka minne na nusu

======
Manchester City last summer, has signed a four-and-a-half-year deal.

City decided earlier this month that they would not pursue their interest in him as they felt making him their best-paid player may affect team morale.

Mkhitaryan, 29, moves in the opposite direction to Sanchez after scoring 13 goals in 63 appearances for United.

The Armenia international moved to Old Trafford from Borussia Dortmund for £26.3m in July 2016.

He has made only 10 Premier League starts this season, and it is understood there was a breakdown in trust between him and Mourinho.

BBC Sports
 
...sawa ana nguvu,pumzi na spidi kiasi lakin huwa hana maamuz ya haraka na si mwepesi wa kaunta attack,chenga zake ni zile zile tu...na habadiliki,japokua anafit kwa jozee pale old trafford kwa sababu anajua kukaba na mourinho ni mtu wa kupaki bas...ataendana nae sana.....ila sioni kama wa kumtarajia kwa maajabu pale odT hasa ya kufunga kwenye mechi kubwa,bado wa kawaida sana...
 
Back
Top Bottom