Mh!Tuko busy tunajiandaa na CAF.....
Hyo derby mnailazimisha hakuna Derby hapo...
Na haijawahi kuwa mvuto labda mvuto mtauleta nyinyi mkishachapwa na Azam...
Tuko busy au wako busyTuko busy tunajiandaa na CAF.....
Shirikisho linakushirikisha sana kichwa yako...hahahaaBusy na shirikisho ππ€£π