"Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

Aolewe mara 2? Mbona alishaolewaga na yule jamaa wa PPF
 
Pasko ni wa kupuuzwa tu
 
Historia itakukumbuka kama mwandishi wa habari asiye na busara, hekima wala maadili. Binafsi nitakukumbuka kwa hilo.
Ni kweli, na mara nyingi mnahatarisha maisha yenu kwa kuandika mambo ya kipuuzi, au kudhalilisha wengine, we ujui ripoti ya kila mwaka ya madhira yanayowakuta waandishi? Sehemu kubwa wao ndio chanzo kwa matumizi mabaya ya kalamu zao, je, una sababu ya kuwa na upande katika masuala ya kisiasa? Ukijitambua unaweza kuwaandika wenzako wao awawezi!
 
Kwani Pasko siku hizi Yuko wapi?

Kama ni msiba mbona hatujasikia TANZIA?
 
Yaani wewe uwe na akili kuliko mawakili wa Chadema , huku hujawahi kusimamia hata kesi ya mwizi wa mapera shambani !
Kuna popote nimesema mimi kuwa nina akili kuliko mawakili wa Chadema?. Kusoma sheria sio kuwa Wakili. Kuna wanasheria kibao very bright and brilliant na hawasimami mahakamani!.

The best wa sheria Chadema ni Tundu Lissu, nimemtangulia miaka 2 pale Ilboru. LL.B yangu ni ya UDSM and it's (Hons)!. Sio kila aliyesoma sheria anafanya litigations.

Not always the best runners win the race, or the best fighters win the fight,
this time around, Chadema inakwenda kushikishwa adabu!. Haiwekani kila siku ifanye uhuni iachwe hivi hivi!. Mdee ni Kisiki cha mpingo!.
P
 
Unajidhalilisha makusudi kwa faida ya nani ? kwanza ulishasema hawatofukuzwa , bila hata kuomba radhi kwa uongo wako ule leo umekuja na ngonjera mpya ya kichovu !

Tumeonya mara kadhaa kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu .
 
Tangu mjonbako afe umechanganyikiwa
 
Asante
 
Unaongea sana,weka akiba ya maneno.
 
Umebwabwaja weeee enzi za jk, hukupata uteuzi, enzi mwendazake msukuma mwenzio hukupata uteuzi, sasa kaja mama unapanua domo kila uchao sasa umerudi CHADEMA.
Baki huko ccm na utazeeka bila uteuzi nyau wewe.
Nilikuona great thinker kumbe poyoyo
 
Utashangaa sana..
 
Brother mbona unatuvunja moyo tunaokuheshimu?? Mbona kama mitazamo yako hiv hiv sasa inapungua viwango?
 
Unajidhalilisha makusudi kwa faida ya nani ? kwanza ulishasema hawatofukuzwa , bila hata kuomba radhi kwa uongo wako ule leo umekuja na ngonjera mpya ya kichovu !

Tumeonya mara kadhaa kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu .
Mkuu umemwambia ukweli huyo zoba Paskali, kama ni kusikia amesikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…