Ni sehemu salama nimeanza kuitumia alibaba.com tangu 2010 na hawajawahi kufanya uhuni wala kupoteza Mzigo wangu.....just make sure supplier ana alibaba website account
Maelekezo gani unataka? Wewe nunua utapata kitu chako bila Shaka, ni Mara chache sana kupoteza, na sabasaba labda kitu chako kiibiwe posta! Msiwe waogawaoga, alibaba ndiyo mtandao mkubwa zaidi Wa biashara Mtandaoni, eBay na Amazon wajumlishe zidisha Mara mbili bado hawafikii! Kama ni mwoga sana kanunue Kkoo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.