Mzoefu wa kuajiriwa migodini, naomba siri ya mishahara kama Afisa Mazingira au Afisa Jamii

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Naomba kuulizxa kwa range yamsihshara kwa maafisa afya, mazingia au maafisa jamii wanaoajiliwa migoding range yasalary ni sha ngapi?

Je, kunamalulupu gani ya ziada?

Je, maisha ya kufanya kazi migodini kwa nafasi hizo ukilinganisha na kufanya kazi kwenye NGOs wapi bora?

Naomba ushauri.
 
Watu kama wewe mleta uzi ndio mnafanya wasomi wa nchi hii wa dharaulike.

Kwanza kuandika kwenyewe hujui.

#MaendeleoHayanaChama
 
Unaulizia mshahara hata kazi hujapata
 
Hakuna yenye WATU WASIRI kama Tanzania hasa kwenye issue zenye MASLAHI.

Taarifa nyingi utakazoziona ni propaganda uchwara na siasa koko, ila huwezi kujua taarifa muhimu kabisa unless upate mtu wako wa karibu sana ambaye atakwambiua ila siyo MITANDAONI.
 
Nikweli..hakuna aliyeoa mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…