Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Waacheni mapolisi na ujinga wao.Mzozo Mkali umeibuka baina ya Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) na jeshi la polisi.
Mzozo huo ni baada ya jeshi la polisi kuwataka waondoke eneo walilokuwa wakiabudia na kutawanyika jambo ambalo waumini hao wamelikataa.
hakiMzozo Mkali umeibuka baina ya Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) na jeshi la polisi.
Mzozo huo ni baada ya jeshi la polisi kuwataka waondoke eneo walilokuwa wakiabudia na kutawanyika jambo ambalo waumini hao wamelikataa.
Kanisa la wapi hilo?Mzozo Mkali umeibuka baina ya Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) na jeshi la polisi.
Mzozo huo ni baada ya jeshi la polisi kuwataka waondoke eneo walilokuwa wakiabudia na kutawanyika jambo ambalo waumini hao wamelikataa.
Kanisa la wapi hilo?