Mzozo wa Congo, kwanini mchokozi asiwajibishwe?

Huu ujinga unaaminiwa tu na wajinga wasiokuwa na exposure.
Weka facts and figures za nchi zote za EA community kuhusu intelijensia ili tulinganishe manake iseje ikawa hauna facts bali umekuwa brainwashed au una uzalendo uchwara wa kuogopa kukataa ukweli.
Ukienda kidunia(tumi Google au Wikipedia au reliable sources zozote) nchi zinalinganishwa kwa facts hata kwenye mambo ya intelijensia.
 
Hakuna mtu asiyekuwa na jema hata moja. Kudhani kuwa mtu anaweza kukosa jema kabisa ndiyo ukichaa wenyewe sasa.
Najua kuwa hata saa mbovu kuna muda inakuwa iko sahihi lakini ukichaa ni kuitumia kama reference.
 
Sasa na huyu hako ka nchi unakokasema ndio kapo nyuma yake ataacha kuwa na kiburi?
 

ninaamini wakiwa na hizo SUKOI 15 tu au MIG 15 tu na kutrain askari 5000 tu +vifaru kadhaa vya kirusi na kukodisha wale mamluki 200 tu wanamkalisha Rwanda kwa week moja tu..
 
ninaamini wakiwa na hizo SUKOI 15 tu au MIG 15 tu na kutrain askari 5000 tu +vifaru kadhaa vya kirusi na kukodisha wale mamluki 200 tu wanamkalisha Rwanda kwa week moja tu..
Hawahitaji Su-25 hata moja nyingine, drones tu
 
Ngoja nikuongezee jambo:
Hivi unajuwa hadi juzi hapa DRCongo walikuwa wamewekewa vikwazo na wakubwa wa dunia wasinunue silaha kokote duniani bila ya ruhusa ya wakubwa?

Hivi, unajuwa, juzi juzi hapa viongozi kadhaa(wawili/watatu) wa nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC), wakawa wanajipiga tuvifua twao na kujiapiza kwamba watapeleka jeshi huko likamalizane na hao waasi? Kumbe, jamaa wanatumia tu jina la Jumuia kwenda kuwalinda hao M23!
Hadi leo M23 anachekelea tu na kuendelea kuteka maeneo ya nchi. Hilo jeshi linaloitwa la Jumuia ya Afrika Mashariki hata risasi moja tu hawajaitumia.

Nchi pekee inayoweza kuumaliza mzozo wake ni Congo yenyewe. Ni lazima wajizatiti na wafanye kazi inayowahusu wao wenyewe. Waache kutegemea watu wengine waje kuondoa matatizo yao.

Hicho kiinchi kinachotafuta kumega nchi za wengine wakishughulikie; bila hivyo wataendelea kulialia tu kama mabinti.
 
Dah!

Mkuu 'Sex', unamwongelea Kagame wa wapi huyo?

Hata 'uchawa' tunaouongelea Tanzania naona umekupeleka mbali sana.

Au sikukuelewa: hao "M23 enzi za JK," waliopukutisha kama kuku; hivi uliwaokota wapi, au unawatengeneza kichwani mwako?
Ninakushangaa kwelikweli na andiko lako hili leo.
 
Ukishakubali kukaa na PK meza ya mazungumzo jua huna chako. Dawa ya moto ni moto. Piga safisha goma Hadi Kigali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…