Mbaga Lazaro
Senior Member
- Aug 9, 2020
- 132
- 108
Wakaguzi wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki wamefika katika kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia kusini mashariki mwa Ukraine, shirika la habari la Reuters linaripoti.
Mwandishi wa habari kutoka shirika la habari aliwaona maafisa Umoja wa Mataifa wakiwasili kwenye mtambo huo wakiwa katika msafara mkubwa wa wanajeshi wa Urusi .
Kampuni ya nyuklia ya serikali ya Ukraine Energoatom pia inathibitisha kuwa ujumbe wa IAEA umefika katika eneo hilo.
#Bbc