Mbaga Lazaro
Senior Member
- Aug 9, 2020
- 132
- 108
Sadam Husein baada ya kuruhusu wakaguz kutoka hili shirika mzozo uliongezeka badala ya kupungua.Wakaguzi wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki wamefika katika kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia kusini mashariki mwa Ukraine, shirika la habari la Reuters linaripoti.
Mwandishi wa habari kutoka shirika la habari aliwaona maafisa Umoja wa Mataifa wakiwasili kwenye mtambo huo wakiwa katika msafara mkubwa wa wanajeshi wa Urusi .
Kampuni ya nyuklia ya serikali ya Ukraine Energoatom pia inathibitisha kuwa ujumbe wa IAEA umefika katika eneo hilo.
#Bbc
Akili mgando ndio huwaza hivyo, wazungu ndio wanapora rasilimali kupitia viongozi corrupt wa Africa na mnawasifia kwakua wana wapa access ya kwenda kwao mpo kama MANGUNGOWatu wanapo sema hii ni vita ya dunia inamaana putin ndio adui namba moja na akisha fyatuliwa putin dunia inabaki salama. sasa sijajua kwanini mpaka saizi wanamchelewesha putin kumfyatua.
Putin analambwa kichwa September hii mark my wordsWatu wanapo sema hii ni vita ya dunia inamaana putin ndio adui namba moja na akisha fyatuliwa putin dunia inabaki salama. sasa sijajua kwanini mpaka saizi wanamchelewesha putin kumfyatua.
Miaka yote Urusi anajiandaa kivita na USA pamoja na nchi zote za Ulaya, wakati huo huo nchi zaidi ya 30 za Ulaya jumlisha USA zinajiandaa kivita dhidi ya Urusi...Watu wanapo sema hii ni vita ya dunia inamaana putin ndio adui namba moja na akisha fyatuliwa putin dunia inabaki salama. sasa sijajua kwanini mpaka saizi wanamchelewesha putin kumfyatua.
Hapo mwenye akili ni nani sana. Huoni kua mzungu ni mjanja ndo maana wafrika wanaswagwa kama ngombeAkili mgando ndio huwaza hivyo, wazungu ndio wanapora rasilimali kupitia viongozi corrupt wa Africa na mnawasifia kwakua wana wapa access ya kwenda kwao mpo kama MANGUNGO
Dunia salama uwepo wa putinWatu wanapo sema hii ni vita ya dunia inamaana putin ndio adui namba moja na akisha fyatuliwa putin dunia inabaki salama. sasa sijajua kwanini mpaka saizi wanamchelewesha putin kumfyatua.
Mtu mweusi ni corrupt hahitaji akili mpe keHapo mwenye akili ni nani sana. Huoni kua mzungu ni mjanja ndo maana wafrika wanaswagwa kama ngombe
Utalambwa wewe hukoooo kunako ......Putin analambwa kichwa September hii mark my words
Kwa Urusi hawafurukuti.Sadam Husein baada ya kuruhusu wakaguz kutoka hili shirika mzozo uliongezeka badala ya kupungua.
Ngoja tuone kitakachotokea nyakat hizi
Sent using Jamii Forums mobile app