Tatizo, wanaume tumekuwa na mitazamo ya ajabu sana kuhusu swala la kujamiiana, hii ina kuja haswa tunapozungumzia kujamiiana na wake zetu, mara nyingi unapokuwa na uhusiano na msichana kabla hamjaamua kuishi pamoja, mnapojamiiana inakuwa tofauti sana na mnapokuwa mkiishi pamoja pamoja. Tendo la ndoa linaharibiwa kutokana na kuzoeana sana kwa wanandoa, ule utundu na ujuzi ambao mlikuwa mkionyeshana hapo mwanzo unakuwa haupo kabisa, unapokuwa na mwanamke wa chap chap ambae unajua hutampata tena au hutampata hivi karibuni ndo inatokea unatwanga goli mpaka 6, lakini inapokuwa kwenye ndoa kwasababu unajua utapata wakati wowote kwahiyo speed inapungua ( mazoea). Lakini je ni kweli unataka hizo bao zote 6 zanini, unataka kumuonyesha ufundi wa nini huyo mzazi mwenzio? Sikia Kaa chini nae zungumza naye, tafuta namna ambayo utamweleza ili akuelewe kisha atafute namna ya kukusaidia, by the way USIRUKE UKUTA PLEASE.