sijaelewa ulichokiandika
Mimi ni mmoja wa watu walioomba master pale sasa ninachokiona ni kuwa wanaandaa mazingira ya rushwa kwa sasa wanapigia mtu mmoja mmjo simu sasa nikawa na maswali kidogo inamaana hawazi kuweka kwenye website yao au kutoa kwenye gazeti kama vyuo vingine vinavyofanya ?sikuishia nikapata namba ya huyo anayepigia watu simu wenye admission nikamuliza the same question akasema kuweka kwenye mtandao si kazi yake na nikauliza wewe si unamajina yote niangalizie basi jina akasema si kzi yake mnalionaje hili members
pole kwa kukosa admission mkuu...hakuna rushwa pale,utakuwa umekosa vigezo.
Kajaribu kwenye vyuo vya kata au kasafishe vyeti.
swali zuri sana.Mbona nasikia kuwa Mzumbe ndio wanaita chuo cha kata au chuo cha kata ndio kipi hasa?
Mbona nasikia kuwa Mzumbe ndio wanaita chuo cha kata au chuo cha kata ndio kipi hasa?
swali zuri sana.
ukiondoa udsm,sua na mzumbe vilivyobaki vyote ni vyuo vya kata..kama ulichosoma wewe.
siwezi kubishana na wewe mkuu naona umekosa point ya kuzungumza maana maofisini wanachuo waliomaliza mzumbe hasa ya MBA ya Dar compass wanasema wengi wao hawakidhi vigezo siwezi kusema woote ila ni wengi wao ila wapo ambao wakitoka hapo wanatoka na kitu kweli hayo ni maneno kutoka maofisini mbali mbali na pia huwezi kulinganisha mzumbe na Udsm.
Mkuu, angalia the best university in africa 2012 udsm ni ya 15 na kairuki ni ya 42 ambavyo ni vyuo viwili tu toka Tanzania mzumbe hata ndani ya 100 bora haipo sasa wewe unaleta hoja ambayo haina msingi.
Na vile vile hatuangalii kama umesoma hapo mzumbe tunachoangalia what do you deliver to organisation? kama umekalia kutoa comment za namna hiyo ni ishara tosha pamoja na kusoma hapo mzumbe haijakusaidia. kila mtu akiweka cv zake humu si tutakimbizana cha muhimu nini umepata kutoka chuoni na umekitumiaje kwenye jamii.
acha porojo za kujifariji mkuu...ukiondoa udsm,sua na mzumbe vilivyobaki vyote ni vyuo vya kata,sasa sijui nini kigumu hapa kueleweka.
hata sisi madoctor kumbe tunaosoma muhimbili tupo chuo cha kata na unakuja kuwaona ukiwa unaumwa. makubwa usilolijua ni sawa na usiku wa giza
hamna mkuu GPA imekaa vizuri na nina cpa by the way niliingia choo cha kike ngoja nisubiri udsm maana niliomba
Udsm wameshatoa check na web yao udsm.com: The Best Search Links on the Net wametoa ijumaa