Mbutu Wazagamba
Member
- Aug 13, 2014
- 29
- 8
Wakuu wenye ufahamu na Hii Program, naombeni msaada wenu kuhusu hii program, TCU wamenipeleka kuisoma, na uchumi wetu hauko vizuri kiujumla, nifanye nini juu ya hii program coz ni Non Priority huko heslb, kunauwezekano wa kuibadilisha nikishafika Mzumbe nikachagua yenye Priority? Au kunauwezekano wa kupata MKOPO kwa program hii?
KARIBU KWA MSAADA WENU NA USHAURI BORA
KARIBU KWA MSAADA WENU NA USHAURI BORA