Mzumbe! Bachelor of business administration in Procurement and Logistic Management (BBA.PLM)

Joined
Aug 13, 2014
Posts
29
Reaction score
8
Wakuu wenye ufahamu na Hii Program, naombeni msaada wenu kuhusu hii program, TCU wamenipeleka kuisoma, na uchumi wetu hauko vizuri kiujumla, nifanye nini juu ya hii program coz ni Non Priority huko heslb, kunauwezekano wa kuibadilisha nikishafika Mzumbe nikachagua yenye Priority? Au kunauwezekano wa kupata MKOPO kwa program hii?
KARIBU KWA MSAADA WENU NA USHAURI BORA
 
Ckia mdogo wangu,kwanza usikatishwe tamaa kwa sababu ni non priority, nani amekwambia kama non priority hawapati mikopo?mimi nasoma geomatics but pale wale wa geoinformatics ni non priority na wote walipata mikopo last year,non priority pia unapata mkopo na usiwe na wasiwasi,pia ukienda chuo inakua majibu ya mkopo yameshatoka,na hio course ni nzur sana wala ucje ukaibadilisha,plz soma hio hio then utakuja kuona faida Yake,
 
NASHUKURU KWA USHAURI WAKO MZURI NA WA BUSARA, ASANTE NA MUNGU AKUBARIKI, kama unaweza pia kunielekeza mfumo wake wa ajira karibu, coz nimeambiwa nistarajie ajira milele.

Nani kawambia ujinga huo,maprocurement officer kila sehemu wanatakiwa,nafasi za kazi kila siku zinatangazwa,wala wasikutie pressure mdogo wangu,hio course ni nzur sana na ina demand kubwa katika soko la ajira kuliko hata accounting
 
mkuu mnaangalia sehemu gani selection coz cjajua hadi time hii

Zilikuwepo jana ucku lakini it seems kama zilivuja so wameshazifunga,but hawana tena muda wataachia ucjal,maana tarehe zenyewe ndio hizi
 

dogo vipi,naomba unijuze umewezaje kuangalia kama umepangiwa huko?nia shida tu ya kujua coz niliapply kwa ajili ya bwana mdogo wangu aliyekuwa jkt wakati nafanya hiyo application.mpaka leo status ya applicationa inasema iko kwenye progress but chini kabisa wameandika kwa maandishi mekundu kuwa "processed successfully.you have been selected".
naomba kujua nawezaje kujua zaidi ya hiki walichokiandika?
 

Kuna mtu amepost uzi humu Itakua ameshaipata link,utafute huo uzi umpe registration number na jina
 

thanx mkuu,nashukuru kwa taarifa.labda tusubiri kesho jtatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…